Utingo
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 10,270
- 8,033
Heshima ni ya bure mkuu. Hapo unatutukana watanzania wote ikiwamo wewe mmojawapo. Nawe ni mgonjwa wa ajabu.
hehehehe samahani mkuu. jamaa kaniudhi mno. anawadharau wanaofundisha ujasiriamali hapa tz kwa sababu tu yeye kaenda kusoma finland na si ajabu ni kichuo cha kipuuzi tu cha mtaani. na anaona anajiona kuwa tactics zake ni bora kuliko za wengine huku yeye mwenyewe anafanya hicho hicho.