Siri kuu 4 usizozijua wazitumiazo wafanyabiashara wakubwa kuwa juu zaidi ya wajasiriamali

Status
Not open for further replies.
umesema umefanikiwa mi sijafanikiwa bado 15000 unaitaka tunaenda wapi sisi ?
Au mwenye nacho anaongezewa na asiyenacho anaporwa hata anachohisi anacho. Jipange hatuibiwi

Hiyo ndio tabia ya uoga waliyonayo watz wengi inayowazuia kufanikiwa. Haibiwi mtu sasa sijui kwanini unajihami hivyo.
 
1. Mafunzo haya si kwa ajili ya watengeneza mkaa, ni kwa ajili wa wafanyabiashara wa biashara zote

2. Kila mtu ana chaguo la kujifunza kwa aina yoyote ya njia. Inaitwa soko huria. Ni kama dini unaambiwa uchague mwenyewe uabudu kupitia dini gani. Sijui kwanini watu hawqaelewi hii analogy. Hulazimishwi kujifunza kwangu. Mtu una uhuru wa kujifunza popote.

Hebu weka hapa topiki unazo fundisha, kwa hiyo unafundisha ujuzi au unafundisha ujasirimali? Kama ni ujasirimali basi utakuwa unaibia watu, Mkuu ujasirimali kama ujasirimali haufundishwi, au kuwafundisha watu mambo ya Marketing, business planing na kazalika ndo ujasirimali?
 
nilipoona siri kuu 4 nikajua ntakuta umezimwaga humu kwenye uzi wako kumbe na wewe upo kutangaza biashara yako ya vitabu pia??
 
Of course mi nafundisha ujuzi. Sasa utafundishaje ujasiriamali. Ndo maana mwanzoni nikasema nafundisha ujuzi ambao wajasiriamali wadogo hawaujui ila wafanyabiashara wakubwa wanautumia ndio maana wanamafanikio kulioko wajasiriamali wakati hao wafanyabiashara wameanzisha biashara tokea chini kabisa kama wajasiriamali wanavyoanza. Umeelewa sasa?
 
Ya mimi ni mfanyabiashara na mwalimu pia. Wewe unafanya nini?
 
nilipoona siri kuu 4 nikajua ntakuta umezimwaga humu kwenye uzi wako kumbe na wewe upo kutangaza biashara yako ya vitabu pia??

Mnapenda vitu vya free. Vitu vya free vinakuja na strings attached
 
Of course mi nafundisha ujuzi. Sasa utafundishaje ujasiriamali. Ndo maana mwanzoni nikasema nafundisha ujuzi ambao wajasiriamali wadogo hawaujui ila wafanyabiashara wakubwa wanautumia ndio maana wanamafanikio kulioko wajasiriamali wakati hao wafanyabiashara wameanzisha biashara tokea chini kabisa kama wajasiriamali wanavyoanza. Umeelewa sasa?

Umesema si watengeneza mkaa tu bali ni watu wote, It means unaujuzi wa kila kitu, kunzia kuunda Magari, hadi kukaanga karanga nazani kama ni hivyo basi nimekuelewa, Ila kama elimu unayo zungumzia ni ya kufundisha watu jinsi ya kujiajiri basi hapo kuna tatizo.
 
Bwana Biashara2000 ngoja nikueleze jambo moja muhimu sana.

1. Tokea nchi imepata uhuru imekuwa ni nchi inayozoea kupewa misaada na nchi za nje. Hiyo mentality ilikuwapo kwa viongozi wetu tokea mwanzo. Imejengeka kwa asilimia kubwa ya watz. Watz wengi hawawezi kufanya mambo kwa kuwa hawajiamini na wanaona hawana uwezo mpaka wapewe msaada na watu wengine. Hawawezi jinyanyua wenyewe. So kuhusu wewe kuuza kitabu chako ni kuwa wao wameshazoea kupewa vitu vya bure ambayo ni mentality waliyorithi kutoka kwa mababu zao. Usiwalalamikie au kujaribu kuwaridhisha kwa maelezo yako. We fundisha watu watakao kubali kufundishika kwa kubadilisha mentality zao.

2. Mtanzania hafahamu kuwa vitu vya bure huwa vina masharti. Misaada ya nje kwa nchi yanakuja na masharti yake ambayo ni kuchukuliwa resources zetu na kupangiwa cha kufanya kwa kuwa hatujiwezi. Information zinazopatikana free kwenye internet ni theory asilimia 95. Sio experience kama unavyosema. Kwahiyo atakayetaka kujifunza kupitia experience yako basi na ajifunze aondokane na umaskini. Asiyetaka basi aendele tu kukashifu na kutukana, kama UKAWA. Ushahidi angalia tu mtaani kwenu, wachapakazi na wanaoamua kubadili fikra ndo siku zote wana mafanikio. Wengine ni wasindikizaji tu. Wanasubiri misaada kama watoto yatima. Wanataka serikali mpaka iwapeleke chooni wakajisaidie maana wameshindwa wao wenyewe. Ndo maana hata vyoo eti watu wanashindwa kuchimba wanasubiria serikali ije iwachimbie vyoo majumbani kwa eti wanasingizia umaskini.

3. Kamwe usijaribu kumridhisha mtu. Wanaotaka kuwa maskini waache tu wabaki na theory zao za kwenye internet. Tutrakaotaka kujifunza tuko pamoja nawe. Umefanya makubwa tokea kutupa mafunzo ya kutengeneza mkaa na sasa ujuzi wa ujasiriamali. Tunahitaji watu kama nyie katika jamii.
 
Nice analysis
 
Biashara2000 Kubali kuwa unafanya biashara kama hao wengine. Mbona tumekuwa tukiextract knowledge kubwa kabisa kwa namna mbalimbali free of charge.
Kila mdau akija hapa kwa gear ya kuelimisha kwa hela mmh jf wanyonge tutaikimbia.
Tuboreshe jukwaa letu jivunie kuwa mtu anaeifanya JF kuwa kimbilio la kubadili maisha na muonekano!

Mkuu! Umenena!
 
Last edited by a moderator:
Umesema si watengeneza mkaa tu bali ni watu wote, It means unaujuzi wa kila kitu, kunzia kuunda Magari, hadi kukaanga karanga nazani kama ni hivyo basi nimekuelewa, Ila kama elimu unayo zungumzia ni ya kufundisha watu jinsi ya kujiajiri basi hapo kuna tatizo.

Vipi mzee unataka tu tupoteze muda kwa kitu kisicho na msingi au? Narudia tena ujuzi naotoa ni ujuzi wa kufanya biashara
 
Bwana Biashara2000 ngoja nikueleze jambo moja muhimu sana.

1. Tokea nchi imepata uhuru imekuwa ni nchi inayozoea kupewa misaada na nchi za nje. Hiyo mentality ilikuwapo kwa viongozi wetu tokea mwanzo. Imejengeka kwa asilimia kubwa ya watz. Watz wengi hawawezi kufanya mambo kwa kuwa hawajiamini na wanaona hawana uwezo mpaka wapewe msaada na watu wengine. Hawawezi jinyanyua wenyewe. So kuhusu wewe kuuza kitabu chako ni kuwa wao wameshazoea kupewa vitu vya bure ambayo ni mentality waliyorithi kutoka kwa mababu zao. Usiwalalamikie au kujaribu kuwaridhisha kwa maelezo yako. We fundisha watu watakao kubali kufundishika kwa kubadilisha mentality zao.

2. Mtanzania hafahamu kuwa vitu vya bure huwa vina masharti. Misaada ya nje kwa nchi yanakuja na masharti yake ambayo ni kuchukuliwa resources zetu na kupangiwa cha kufanya kwa kuwa hatujiwezi. Information zinazopatikana free kwenye internet ni theory asilimia 95. Sio experience kama unavyosema. Kwahiyo atakayetaka kujifunza kupitia experience yako basi na ajifunze aondokane na umaskini. Asiyetaka basi aendele tu kukashifu na kutukana, kama UKAWA. Ushahidi angalia tu mtaani kwenu, wachapakazi na wanaoamua kubadili fikra ndo siku zote wana mafanikio. Wengine ni wasindikizaji tu. Wanasubiri misaada kama watoto yatima. Wanataka serikali mpaka iwapeleke chooni wakajisaidie maana wameshindwa wao wenyewe. Ndo maana hata vyoo eti watu wanashindwa kuchimba wanasubiria serikali ije iwachimbie vyoo majumbani kwa eti wanasingizia umaskini.

3. Kamwe usijaribu kumridhisha mtu. Wanaotaka kuwa maskini waache tu wabaki na theory zao za kwenye internet. Tutrakaotaka kujifunza tuko pamoja nawe. Umefanya makubwa tokea kutupa mafunzo ya kutengeneza mkaa na sasa ujuzi wa ujasiriamali. Tunahitaji watu kama nyie katika jamii.

Asante kwa kunisaidia kusema, mi ngoja ninyamaze, niwahudumie wenye uhitaji
 
Mi nadhani fanya hivyo. Maana mi pia nimepitia mafunzo mengi ya ujasiriamali na sijapata info zenye maana maana zote naziona kwenye internet. Ila kitabu chako bado sijaanza kukisoma ila kwa kupapasa macho juu juu naona kuna mambo mengine hatukufundishwa kwenye hizi semina zetu. Na bei yako sio mbaya. Mi naamini kuwa sio watz wengi ni wana negative thinking, nadhani ni asilimia kadhaa. Nadhani watz wengi ni watu wenye njaa ya mafanikio na wanajaribu kutoka kimaisha ndio maana wanajazana huko kwenye hizo semina wakijaribu kutafuta ujuzi utakaowasaidia kutoka. Nawe unajitahidi kuwasaidia. Watu wasikukatishe moyo, we endelea tu mwana. Kama kila kitu nchini kingekuwa kinatolewa free basi kusingekuwa na uchumi let alone mzunguko wa pesa
 
Of course mi niko tofauti nao kwa sababu 2. 1. Mimi sitoi mafunzo kwa ghali. 2. Mi sitoi theory bali ni uzoefu wangu kama mfanyabiashara. Baadhi ya wana JF washawahi tembelea biashara yangu Kibaha.

Mkuu Kibaha sehemu gani?
 
Tuelimishe nasi maana mimi nimehudhuria makumi ya hizi semina za ujasiriamali wao wakikazania ununue DVD zao. Kuna jamaa alikuwa anatufundisha ujasiriamali basi baada ya mafunzo akasema tununue DVD yake kwa sh. 35,000. Basi kununua na kwenda kuiangalia nikakuta ni DVD ya movi inaitwa Police story ya Jackie Chan. Siendi tena hizi semina. Nimeku sms mkuu unipe hicho kitabu.

Acha kutoa povu wewe, tulia ulambe dawa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom