maatope
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,422
- 958
Ushawahi kusoma mahojiano ya wachezaji wa zamani wa soka wa bongo wanapoelezea kazi wanazozifanya baada ya kustaafu? oh yes wote wanasema ni wafanyabiashara
Haswaa, hautasikia sijui journalist,dereva,accountant etc....
ukweli ni kwamba toka enzi hizo wana uzoefu wa kuuza mechi kwa hiyo wanaendeleza kipaji, mfano mzuri ni yule kipa wa siku nyingi bwana JKJ ambaye umri wake bado unasoma 25, ama kwa hakika akistaafu soka atakuwa bonge la mfanyabiashara