anthony_art
JF-Expert Member
- Jul 9, 2020
- 1,033
- 369
Elezea hapa mbona sisi hatujakwambia uende ukasome NASA wameelezea umbo la Dunia?1. Publication za Einstein zipo nyingi kasome kuhusu maoni yake.
2. Narudia,...nimejibu swali kulingana na ulivyouliza kama hukutaka nihusishe camera kwenye majibu yangu basi hata wewe hukutakiwa kuhusisha kwenye swali lako,..... Naamini hii ipo clear.