Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?

  • Total voters
    548
1. Publication za Einstein zipo nyingi kasome kuhusu maoni yake.

2. Narudia,...nimejibu swali kulingana na ulivyouliza kama hukutaka nihusishe camera kwenye majibu yangu basi hata wewe hukutakiwa kuhusisha kwenye swali lako,..... Naamini hii ipo clear.
Elezea hapa mbona sisi hatujakwambia uende ukasome NASA wameelezea umbo la Dunia?
 
Akisema camera ni Jua basi atuambie tunaishi kwenye Jua, maana observer yupo karibu na camera.
Na hana haki ya kusema ni Jua ama lah!

Maana hii clip umeileta wewe ili kuwapa wao mifano,

La sivyo yeye atuletee mifano yake kuhusu Jua kuzunguka Dunia ( Najua hili hawezi hataa kwa kujaribu )
 
Camera ni mfano Dunia ndio maana unatumia camera kama jicho, means wewe ulipo duniani (camera) huwezi kusema camera ni Jua kwahy sisi tupo kwenye jua? Sisi tupo duniani (Camera) tunaona majengo(Jua) yanatoka katika position yaliyokuwapo mpka yanapotea wakat kiuhalisia Dunia (camera) ndio inamove.
Kwa mantiki hiyo mfano wako ni irrelevant,......

1. Kwasababu kwenye uhalisia Dunia haionekani Ku move(tayari mpaka hapa huwezi kufananisha na camera ambayo kwenye video yako unasema ina move)....so haiingii akilini kufananisha Dunia iliyo stationary na camera ambayo kwenye video yako unasema ina move! ❌

2. Jua mfano wake ndiyo unaendana na camera as we observe,.... Jua halipo stationary na pia camera kama ulivyotumia kwenye video yako haipo stationary ina move!

Nina details zaidi,... nikitulia na nikikumbuka nikaelezea namna mlivyojikanyaga kwenye mfano wenu huu.
 
Na hana haki ya kusema ni Jua ama lah!

Maana hii clip umeileta wewe ili kuwapa wao mifano,

La sivyo yeye atuletee mifano yake kuhusu Jua kuzunguka Dunia ( Najua hili hawezi hataa kwa kujaribu )
Wewe ukishaleta video/hoja yoyote hapa huna mamlaka tena ya kupanga namna watu watakavyoitafsiri hoja/video yako.

Ukishaanza kuweka masharti,... inaonyesha wazi kwamba wewe ni muoga wa kuwa challenged.

Sawa?
 
Unaelewa maana ya neno mfano ?

Okay tuache hayo, Basi tunaomba utupe mfano wako namna Jua linavyofanya mzunguko wake ( kuizunguka Dunia )
 
1. Kwasababu kwenye uhalisia Dunia haionekani Ku move(tayari mpaka hapa huwezi kufananisha na camera ambayo kwenye video yako unasema ina move)....so haiingii akilini kufananisha Dunia iliyo stationary na camera ambayo kwenye video yako unasema ina move! ❌
Nikikuuliza we umeona camera inamove utanipa uthibitisho Gani kutoka kwenye hiyo clip?
 
2. Jua mfano wake ndiyo unaendana na camera as we observe,.... Jua halipo stationary na pia camera kama ulivyotumia kwenye video yako haipo stationary ina move!
Ndio maana nimekuuliza swali kama unasema camera ndio Jua, kwahy sisi tunaishi kwenye Jua Kwa sabab wewe hayo majengo unayaobserve through camera iliyorekodi ambayo wewe unasema ni Jua 😀, sisi tuna observe Jua tukiwa duniani, embu weka point zako sawa usiforce.
 
Ndio maana nimekuuliza swali kama unasema camera ndio Jua, kwahy sisi tunaishi kwenye Jua Kwa sabab wewe hayo majengo unayaobserve through camera iliyorekodi ambayo wewe unasema ni Jua , sisi tuna observe Jua tukiwa duniani, embu weka point zako sawa usiforce.
Nlishasema tangu mwanzo kajikoroga,

Acha nione majibu yake, Maana akili yake anaifahamu yeye mwenyewe jinsi ilivyo.
 
Sunrise and sunset, Ship visibility

Huo hapo ushahidi na unashuhudia kila siku.
Hiyo bangi unayovuta ni hatari, ko jua kuchomoza na kuzama ndiyo kitu cha kukuonesha kwamba dunia ina move? Ko wewe ukichukua kitabu ukakining'iniza hewani halafu sisimizi ukamuweka juu ya hicho kitabu, baadaye ukaanza kuzunguka hicho kitabu katika nyuzi 360°, huyo sisimizi atajitungia kwamba kitabu kina move, sio? 😂😂😂😂
 
Nlishasema tangu mwanzo kajikoroga,

Acha nione majibu yake, Maana akili yake anaifahamu yeye mwenyewe jinsi ilivyo.
Akili yako itakua ndogo sana ikiwa unadhani najikoroga,...

Ninachoongea nina uhakika nacho....tulia utaelewa.
 
Nikikuuliza we umeona camera inamove utanipa uthibitisho Gani kutoka kwenye hiyo clip?
Kwa Mtu yoyote mwenye uoni timamu ataona kwamba object (camera) ambayo imetumika Ku capture majengo ndiyo ina move hapo,....

Na huo ni uthibitisho tosha.
 
Ndio maana nimekuuliza swali kama unasema camera ndio Jua, kwahy sisi tunaishi kwenye Jua Kwa sabab wewe hayo majengo unayaobserve through camera iliyorekodi ambayo wewe unasema ni Jua 😀, sisi tuna observe Jua tukiwa duniani, embu weka point zako sawa usiforce.
Tumia akili vizuri.......ipo hivi 👇🏼

Sisi tunaishi kwenye majengo ambayo kimsingi kwenye video yako yapo "Stationary"...... So hapo MAJENGO = DUNIA

THEN,...TUNATIZAMA CAMERA ambayo kimsingi kwenye video hapo ndiyo inafanya movement........

So,... CAMERA = JUA.....as per the video you've shared.

Sasa angalia maelezo yangu yanavyoendana na reality,..kisha Tazama maelezo yako yalivyojaa nadharia,.. unashindwa kueleweka.
 
Hiyo bangi unayovuta ni hatari, ko jua kuchomoza na kuzama ndiyo kitu cha kukuonesha kwamba dunia ina move? Ko wewe ukichukua kitabu ukakining'iniza hewani halafu sisimizi ukamuweka juu ya hicho kitabu, baadaye ukaanza kuzunguka hicho kitabu katika nyuzi 360°, huyo sisimizi atajitungia kwamba kitabu kina move, sio?
Kwahiyo ukisema navuta bangi ndio umeniprove wrong kuwa hivyo nlivyovitaja si uthibitisho ?

Okay nipatie wewe uthibitisho kuwa Jua inazunguka Dunia.
 
THEN,...TUNATIZAMA CAMERA ambayo kimsingi kwenye video hapo ndiyo inafanya movement........
Wewe nadhani huitumii akili yako vzr kufikiria, wewe hiyo video umeiona kupitia nini kama sio camera? Na ndio kama sisi tunaliona Jua tukiwa duniani, yaani observer yupo karibu na camera, tumia akili yako
 
Tumia akili vizuri.......ipo hivi 👇🏼

Sisi tunaishi kwenye majengo ambayo kimsingi kwenye video yako yapo "Stationary"...... So hapo MAJENGO = DUNIA

THEN,...TUNATIZAMA CAMERA ambayo kimsingi kwenye video hapo ndiyo inafanya movement........

So,... CAMERA = JUA.....as per the video you've shared.

Sasa angalia maelezo yangu yanavyoendana na reality,..kisha Tazama maelezo yako yalivyojaa nadharia,.. unashindwa kueleweka.
Halafu nimeshakupa task, record video uoneshe Jua linamove. Simple tu kama Jua ni local na lipo km chache kutoka tulipo na ni dogo kulinganisha na Dunia ni rahisi kuona mjongeo wake, so wewe record video uje utuoneshe Jua linamove.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom