Siri kubwa kuliko zote kuhusu dunia yetu tambarare

JE Dunia ina umbo gani?


  • Total voters
    555
Asante..!! Nikianza na swali lako la mwisho ulilolisapoti kwa video... hapo kinachoonekana ni majengo yanamove... lakini kiuhalisia ni camera ndiyo inayotembea, na hilo mtu yeyote anaweza kulithibitisha kwakujaribu yeye mwenyewe kufanya hivyo.
Asante Kwa kuwa mkweli, na hivyo ndivyo Jua huoneka kama linamove wakati kiuhalisia Dunia ndio inamove.
 
Isipokua kwa kesi ya Jua, wewe binafsi unalionaje? je lina utoffauti na Mwezi katika muonekano wa mtembeo wake? Je mwezi nao usingekua unatembea ukabaki sehemu moja tungeendelea kuuona kama tuuonavyo?
Kama ambavyo uliona Yale majengo kama yanamove basi na Jua ndio ivyo hivyo
 
Mwisho kabisa mimi kama mimi ninajua Jua ndio lina move kwasababu naliona kama ninavyouona mwezi ukimove bila kufeel hali yoyote tofauti katika mwili wangu iwe wakati naliona jua linatembea au wakati nauona mwezi ukitembea.
Kwahy ulipaswa unambie kuwa Yale majengo yanamove kulingana na ulichokiona, maana ww unaamini kitu unavyokiona ndio kilivyo sio?
 
SWALI LANGU KWAKO.!
Unadhani nikwanini kabla haujafundishwa kua jua limesimama Ulikua unaamini linatembea?
Kwa sababu sikuwa na elimu ya Anga na physics. Sasa hivi ninayo na Nina access ya kufatilia vitu Kwa kina na kuchanganua kipi kina ukweli na kipi hakina ukweli.

Swali kwako: wewe unahisi sisi (tunaosema Dunia sio flat Bali ni tufe, hatujawahi kusikia hizi habari za Dunia flat hapo kabla na kusoma maelezo yake?
 
Mifano sijui ya ukiwa katika usafiri utaona kama miti inarudi nyuma na blablabla nyinginezo, lakini mbona hamuulizi je wakati unaona miti inarudi nyuma unapokua katika hilo gari, mwili wako unakua unafeel vipi? Je kwenye kuona jua linatembea kumbe ni Dunia, Je Miili inapata hisia yeyote yakuwamo katika kitu kinachotembea kama ambavyo inakua katika gari?

Naomba na mfano mwingine wa Kipi kingine ambacho Tunavyokiona kifanyavyo ni tofauti na uhalisia wa macho yetu kama tunavyoona jua linatembea lakini tunaambiwa limesimama.
Kama huwezi kujibu maswali hapo sidhan kama tutaenda sawa Nina maana yangu nzuri, jibu maswali.
 
Sorry, Hivi umetumia miaka mingapi kufundishwa tuu Umbo la Dunia? Na je Una Miaka mingapi tangu uanze kukataa Umbo la Dunia Tambarare.?
Miaka michache tu nadhani shule ya msingi sijui darasa la ngapi, na sekondari nadhani form one na four.

Sijawahi kuamini Dunia duara, kabla nilikuwa sijui umbo la Dunia, ila baada ya kufundishwa nikajua umbo la Dunia.

Hizi habari za Dunia flat nimezisoma sanaa, na Bado nazisoma ndio maana nipo kwenye huu Uzi, lakn zinamapungufu mengi sana, nyie mnaangalia loopholes za Dunia tufe ndio mnatumia kuaminisha watu Dunia sio tufe, lkn hamna uthibitisho wenu unaojitegemea unaohusisha Dunia flat, kama unakataa niletee picha ya mwisho wa Dunia kwenye barafu, au firmament.
 
Mfano wa Jua kuzunguka Dunia unaupata hata katika saa ya Mshale, na Ujue tuu wazee wa zamani kutumia Jua kujua masaa ndio kulileta idea yakutengeneza saa ya mshale kwa kufuata hesabu za mzunguko wa Jua linapoizunguka dunia Masaa 24.
Sasa mzee saa si inafata mfumo wa Dunia kuzunguka Jua😀😀
 
Mbona wewe umesema Jua lina move na hujaleta video kutuonyesha Jua Lina move?
Mimi Sina nyenzo za kunifanya niendele space nikaone milky way Galaxy 😀. Wewe ambaye unasema Jua ni dogo kuliko Dunia na linazunguka Dunia, niletee video simple umeshindwa nini?
 
Au sio wewe uliyesema Jua Lina move
Tunatofautiana, Mimi nimesema Jua Lina orbit around the milky way Galaxy pamoja na sayari zake zote, na hiyo haisababishi usiku na mchana.

Wakati wewe unasema Jua linamove na ndio inasababisha usiku na mchana, so weka point zako vzr.
 
- Mimi ninaposema Jua lina move ni Kwasababu Jua utaliona kwenye point/ position tofauti tofauti kadri ya muda,....na kitu hicho kipo pia Kwa Mwezi au unataka uletewe picha ya mwezi pia?......sijui kwanini unashindwa kuelewa vitu simple hivi ambavyo ni uhalisia kabisa yaani kimsingi ni kwamba Dunia ipo stationary kama vile unavyoiona na kuhisi kwamba ipo fixed,..
Leta uthibitisho hapa, we unauhakika Gani Jua ndio linamove? Nimekupa mfano wa video kwani Yale majengo hayakuhama position? Kwann hukusema majengo yanamove? Tumia Akili.
 
Kwa kukusaidia ngoja nitolee maelezo hiyo video ya pili hapo.....

Ipo hivi 👉🏼 ukitazama hiyo video ndiyo itakupa uhalisia sasa wa Dunia ilivyo.....miti ipo attached na Dunia So miti ipo Stationary na let's say Camera iliyotumika kurekodi ndiyo inafanya movement kiasi ambacho kadri camera inavyosogea inaacha miti ikiwa kwenye position Ile Ile..... So,..jibu ni kwamba kwenye video hapo miti ipo Stationary na Camera ndiyo inapita na kuiacha miti(iliyo attached na Dunia) backward.
Basi ndivyo hivyo hivyo hata Jua lipo stationary with respect to earth lkn Dunia ndio inamove. Simpleee!!

Alafu hujajibu video ya kwanza😀😀😀
 
Sasa hapo kuna kipi cha kufanya niogope....au umesahau kama huo mfano tushaudiscuss humu., Nikijibu swali lako...."Dereva hato move away from the point uliyopo"

Sasa huo mfano unauhusianisha vipi na Dunia, Jua na Mwezi?
Point yangu hapo ni FRAME OF REFERENCE
Kwahy kama umeelewa vzr hapo siku nyingne nikisema Jua lipo stationary with respect to the earth, uwe unanielewa sawaaa 🙃
 
Usiteseke mkuu,... unapaswa kuzingatia kwamba milango yako ya fahamu ipo sahihi.
1. Dunia sio tufe
2. Dunia haiifanyi movement yoyote.
3. Mwezi na Jua hufanya movement kwenye anga la Dunia.
Uthibitisho Uthibitisho Uthibitisho. Hapa hatutaki NGANO na VIGANO
 
hateeb10

Kama unakubaliana na Einstein kuhusu Gravity, sidhani kama Kuna haja ya kuendelea na huu mjadala naww, kwasabab mpk hapo utakuwa umekubaliana nasi kuwa Dunia ni tufe.

Gravity ya Einstein ndio hiyo inayoelezea kwann Dunia inazunguka Jua, yaani katika Einstein theory of general relativity anasema vitu vyenye uzito na maumbo makubwa huzungukwa na vitu vyenye maumbo madogo, lkn tu vikiwa spherically shaped.

hqdefault (1).jpg


Kwahy nakushukuri sana Kwa mchango wako hapa, nadhani utawafunua na wengine waweze kuelewa ni Kwa jinsi Gani Dunia yetu tufe inavyo work.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom