Mimi nataka maji yadondoke? Hapana
Mimi sikubaliani na nadharia ya Dunia Tufe,..so Tufe kutodondoka sio ishu...
Ishu ni mechanism gani inafanya Maji yastick kwenye tufe(linalozunguka)?
NB:- Ukileta hiyo mechanism usisahau kuambatanisha na uthibitisho.
Umeambiwa kwamba ni gravitation ndio inasababisha vitu vi stick kwenye dunia tufe lakini hutaki, haya ni matatizo yako binafsi ya kukataa
Haya tuelezee wewe ni mechanism gani inatumika kufanya dunia sahani kustick sehemu moja inaelea na mechanism inayofanya jua na mwezi kuzunguka juu ya uso wa dunia sahani?