Siri iliyopo kwenye Vikalio vya mwanaume

Siri iliyopo kwenye Vikalio vya mwanaume

....nasikia vikalio vikipata UBARIDIiiiii...gobore halitoi risasi kamweeeeee 🤣
 
habari kwenu!

nimeweka mada hii hapa ili kuwajuza vijana waelewe umhimu wa eneo hilo kwa mwanaume (kalio)

sehemu ya nyuma ya kukalia ya binadam imewekwa nyama laini sponge ili kumwezesha kukaa, kuinama,kujisaidia na kutembea n.k eneo hilo lina julikana kama (matæk@)

Eneo hili kwa mwanaume lina kazi kubwa sana kuliko nilizotaja hapo juu!

Eneo hili ndipo mzizi wa injini uliko yaani ni kama propellant area inayosukuma homoni zote za kiume.

Eneo hili mwanaume yeyote rijali anaamuliwa kulilinda kwa nguvu zote!
yaani ni afadhali upigwe ngumi ya uso lakini usiruhusu hata kidole cha mtu kugusa eneo hilo!

Ukubwa wa makalia
Naomba nianze kwa kusema hivi (the smaller the area, the higher the pressure)
hiyo ni physics, makalio wakati mwingine ni sawa na puto, jinsi puto likiwa kubwa pressure inapungua; kwahiyo kama mwanaume unahitaji pressure kubwa ya tendo unatakiwa kuwa kalio dogo!
makalio ndiyo hukamua manii zitoke kwa kasi!
Utafiti unasema mwanaume rijari akiyabana matak@ yake itahitaji watu kumi kuyatanua!
Utafiti pia unasema mwanaume akikaza makalio yake yaweza fikia ugumu wa tunda la pera changa ndiyo maana hata madakitali huvunja sindano.
kwasababu ya ugumu wa kalio la mwanaume hii humfanya asikae kwenye kiti mda mrefu( ndiyo maana mafundi nguo/cherehani wa kiume hawatulii)
kwa wale madreva mtanielewa pamoja na kwamba siti ni laini lakini makalio yanasugu! na ndiyo maana baadhi ya makampuni siku hizi yameamua kuajili wamama!

Ukubwa wa kalio na mazoezi

kikawaida makalio ya mwanaume maxmum hayapaswi kuzidi viganja vyake viwili kwa kila tæk@ (viwili kila upande jumla 4) zaidi ya hapo Fanya mazoezi upunguze

Yapo mazoezi ya ambayo kama mwanaume unatakiwa kuwa makini sana la sivyo utaambulia msambwanda wa kutisha;
Mfano;
Kuna zoezi moja lile la kukata tumbo ambalo huwa mtu anapiga magoti halafu anasukuma kitaili chini mbele na kuvuta nyuma! wataalam wanaita Yogurt sijui Yorg nazani
Hilo zoezi mwanaume hupaswi kabisa hata kujaribu kwasababu unavyosukuma mbele mafuta ya tumboni huyeyuka na kurudi nyuma tendo litakalokufanya uwe na Bonge la shepu na 8!
mwanaume unatakiwa ufanye Yale ya kuvuta kamba, kunyanyua n.k hilo la yogurt waachie kina mama!

Kwanini baadhi wanaume ni mashoga?

Ukweli nimetaja hapo juu; mwanaume makini anarinda sana kalio hata bora umpige ngumi ya uso lakini usitie kidole
sasa basi ushoga unachangiwa na tamaa,umaskini na kuiga jambo ambalo jamii inaangamia nalo!

Tuwafundishe watoto wa kiume kulinda huko nyuma kwani ndiko chimbuko ya nguvu kazi!

Karibuni kunikosoa

Kuna mtu ambaye hawez nisahau ktk maisha yake kwa sifa zake mbele ya warembo akanipiga kibao matakoni. Kibano alichokipata ni balaa. Mwanaume linda sana tako lako.
 
Kifupi mimi hata wife wangu tukiwa mchezoni kuna Amri zake kuu kumi nilizompa. Moja wapo ni hiyo, Inasema: Hairuhusiwi kufikisha mkono wako kwenye makalio yangu kwa namna yoyote ile. Hata kama umelala na ukauweka kwa bahati mbaya kabisa adhabu ndogo kabisa ni kuung'ata hadi ashindwe kufanya kazi zake.
😂😂😂😂😂
 
Hii mada inakaukweli kbsa.tako kubwa kweli kazi inakushinda.wanaume tukaze makalio asee kwa faida zetu
 
Siku hz Kuna mapenzi ya mwanamke kumnyonya na kumtia vidole mwanaume mkundun,hii n hatar inachingia ushoga,wanawake acheni kuwafanyia hvo wanaume zenu
 
Siku hz Kuna mapenzi ya mwanamke kumnyonya na kumtia vidole mwanaume mkundun,hii n hatar inachingia ushoga,wanawake acheni kuwafanyia hvo wanaume zenu
duh! amalula hivi hii pombe inapatikana?
 
Mbona unawaza Mat.ak.o tu waza mambo ya maendeleo
 
Back
Top Bottom