Siri iliopo kwenye MANII (SEMEN)

Siri iliopo kwenye MANII (SEMEN)

Mimi sio tajiri lakini hakika sio maskini pia lakini bila ya papuchi nahisi ningekuwa fukara wa kutupwa.

Huwa napata motivation kubwa ya kutafuta pesa pale ninapowaza kuchapiwa sababu ya umaskini.
TANBIHI, Soma kwa ajili ya manufaa Yako Mambo hayo yasikuzue kuendelea kufarahia kufanya mapenzi au masterbation.
 
Mtoa mada uko sawa kabisa ,...

Kuna mwana nipo nae job ,anajikutaga et ana nguvu za kiume kuzid wote ,ana mke lakin utamuonea huruma ni kama zuzu ,wanamuita honga honga ,mshahara ukitoka ni kuhonga ,kuwanunuliwa mademu wa ofcin hapa majenzi ,kuwatoza out [emoji3]tarehe 10 hana hata mia ,mkewe analia njaa hatari .....

Jamaa ukimwangalia Kwa making mambo anayoongea ,mienendo ,na vitu anavyowaza hana tofauti na zuzu ,huwa namshangaa Kawa zezeta kabisa ,anaweza kukusaliti wewe mwana kwenye issue ya maana kisa mbunyee ,kiufupi ni limbukeni wa k.uma kabisa [emoji3]......

Kazin kila mtu kampotezea kashazinguana na watu kibao madeni ,hata uwezo wa kufikili ni mdogo maana hana development strategies zaidi ya kula wanawake kimasiara na kugonga Malaya ....

Kichwani ni empty set kabisa aisee [emoji3][emoji3][emoji3].....hanaga maongezi mengine zaidi ya wanawake
 
Mkuu umemshambulia mpaka inaonekana kama ni personal issues kama vile alitembea na mtu ambaye hukutaka iwe hivyo. Hapo kazini kwann hafukuzwi kama hana uwezo kwa kiwango hicho?
 
Kazi anafanya vzuri ,ni oparetor ila shida yake ni wanawake ,imagine mtu kila muda anatoa story za kugonga tu ...kila demu mkali anampaparukia ,kiufupi naona kama sio mwanaume...
 
Hapana boss. Huyo ni ana tamaa ya ngono tu na ameiendekeza ikawa uraibu. Kuna wa kubet, pombe, sigara, huyu yeye kaangukia kwa wanawake. Kama unaona hamuendani tabia kuwa wazi kwake akileta hadithi za wanawake mwambie hiyo si mambo yako.
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...

Na inasemekana ukifuga sana ny.ege unakua huna afya ya akili...
 
Ulichoongea ni kweli kabisa. Nimekuamini 100%. Mimi nikikaa labda hata wiki 2 tu sijaduu. Hakika nakuwa mtu tofauti sana. Nakuwa mtulivu akili inatulia. Hata shughuri zinaenda kwa wepesi fulani. Hata nikiomba Jambo kipindi hicho hata kwa kuliwazia tu linajibiwa vizuri nisivyotegemea.
Natamani sana niwe napitia hiyo hali ya kufunga kuduu mpaka miezi 6.
 
Mtoa mada uko sawa kabisa ,...

Kuna mwana nipo nae job ,anajikutaga et ana nguvu za kiume kuzid wote ,ana mke lakin utamuonea huruma ni kama zuzu ,wanamuita honga honga ,mshahara ukitoka ni kuhonga ,kuwanunuliwa mademu wa ofcin hapa majenzi ,kuwatoza out [emoji3]tarehe 10 hana hata mia ,mkewe analia njaa hatari .....

Jamaa ukimwangalia Kwa making mambo anayoongea ,mienendo ,na vitu anavyowaza hana tofauti na zuzu ,huwa namshangaa Kawa zezeta kabisa ,anaweza kukusaliti wewe mwana kwenye issue ya maana kisa mbunyee ,kiufupi ni limbukeni wa k.uma kabisa [emoji3]......

Kazin kila mtu kampotezea kashazinguana na watu kibao madeni ,hata uwezo wa kufikili ni mdogo maana hana development strategies zaidi ya kula wanawake kimasiara na kugonga Malaya ....

Kichwani ni empty set kabisa aisee [emoji3][emoji3][emoji3].....hanaga maongezi mengine zaidi ya wanawake
Asante kwa support kwa maana Kuna watu wananiponda huko sijui hawajui kusoma nakuelewa niweka hadi TANBIHI ila hawana uwezo kuchanganua Mambo.
 
Ulichoongea ni kweli kabisa. Nimekuamini 100%. Mimi nikikaa labda hata wiki 2 tu sijaduu. Hakika nakuwa mtu tofauti sana. Nakuwa mtulivu akili inatulia. Hata shughuri zinaenda kwa wepesi fulani. Hata nikiomba Jambo kipindi hicho hata kwa kuliwazia tu linajibiwa vizuri nisivyotegemea.
Natamani sana niwe napitia hiyo hali ya kufunga kuduu mpaka miezi 6.
Unaweza kufunga kwa kipindi Fulani kama umeweka malengo msome pia bondia Mohamed Ally,
 
kama ni kweli mfale Suleiman angekua fukara wa kutupwa. Hayo madude ukiyatunza sana mwilini unaanza kuwa kama zezeta na makasiriko mengi
 
Back
Top Bottom