Siri iliopo kwenye MANII (SEMEN)

Siri iliopo kwenye MANII (SEMEN)

proton pump

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2017
Posts
7,618
Reaction score
11,856
Nimesoma makala mbalimbali kuhusu viongozi na watu wengi waliofanikiwa katika Mambo Yao kwa kiasi kikubwa. Nilichokielewa ni kuwa wengi wao walijihusisha na suala la mapenzi kwa kiasi kidogo au kutojihusisha kabisa. Wengi wanazungumzia kuhusu semen retention na nofap yaani kutopoteza MANII hasa kwa mwanaume. Manii Zina Siri kubwa Sana katika mwili wa mwanaume. Usipofanya mapenzi kwa mda Fulani Kuna faida kadhaa.

1. Concentration kwenye Mambo Yako Huwa ni kubwa Sana.

2. Manii zimebeba virutubisho ambavyo ni muhimu katika ubongo ambavyo huongeza kumbukumbu na uwezo mkubwa wa kufikiri.

3. Hujenga uwezo mkubwa wa kujiamini na kuwa aggressive yaani kupambana.

Baadhi ya watu hao maarufu ni,

Isaac Newton, Nikola Tesla, Thomas Edison, Mark Zuckerberg, Mohamed Ally, Ellon Musk, Vladimir Putin etc.

Hasara ya kukaa bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu, unakua na hasira za ghafla ghafla japo sio kwa watu wote. Unakua huna huruma kwa Mambo Fulani Fulani kwa sababu ya msimamo mkali.

TANBIHI, Soma kwa ajili ya manufaa Yako Mambo hayo yasikuzue kuendelea kufarahia kufanya mapenzi au masterbation.
 
Nipo na rafiki yangu mmoja Ana miaka 59, Hana mke Wala mtoto, mwenyewe anasema hajawahi kushiriki ngono Wala kupiga nyeto toka amezaliwa.

Mpaka leo hii jamaa Hana hata kifaranga Yaani Ni maskini hatari.
Sasa mtoa mada nataka nikwambie kwamba utunzaji wa manii hauna uhusiano wowote na kufanikiwa kwa mtu.
 
Nakazia.

Mimi KWA upande wangu nisipo na mwanamke ndo mambo ya hela yanakuwa magumu.

Yani lazima niwe na kimwanamke ninacho kipa hela walau ya kusuka KILA wiki ndo najiona naishi
 
Nipo na rafiki yangu mmoja Ana miaka 59, Hana mke Wala mtoto, mwenyewe anasema hajawahi kushiriki ngono Wala kupiga nyeto toka amezaliwa.

Mpaka leo hii jamaa Hana hata kifaranga Yaani Ni maskini hatari.
Sasa mtoa mada nataka nikwambie kwamba utunzaji wa manii hauna uhusiano wowote na kufanikiwa kwa mtu.
Hapo chacha
 
Hapo kwenye hasira za ghafla ungemalizia Mfano wa Putin Anaamua kuungurumisha makombira Ukraine bila sababu inayoeleweka na akipata sababu Leo atasema hii kesho atabadilisha ili radi hasira tu.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Na kwenda chooni mara kwa mara nako kunapunguza uwezo wa kufikiri ,unatakiwa uende japo mara moja kwa siku tatu, uwezo wako wa kutafakuri mambo unakuwa juu mno,hivyo mpunguze kula ovyo ovyo [emoji92]
 
Hizo challenge nyingine ni kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume. Sio kwa mwanaume aliyekamilika.
Kama mm nina tatizo la hormone imbalance, iyo male sex hormone "Testosterone" imezidi hormones nyingine zote ndani ya mwili wangu.

Ratiba yangu inakuwa tata kidogo ususani w'kend, unajikuta asubuhi game, mchana game, jioni game & usiku game.

Kwa sisi wa magame unatushauri vp mzee wa nofap🤣🤣🤣🤣?​
 
Back
Top Bottom