Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
Kaniloge nifeMKUU NAAMINI WAPO ILA WEWE HUJAFIKA HIYO 45
AISEE NAHISI UNA MATATIZO KICHWANI SI BURE!Kaniloge nife
Mkuu itabidi unisaidie research yangu it seem u have capacityHakuna siri yoyote, na ulichiandika ni uongo.
Kama ni kweli jibu haya....
1. Nini chanzo/tatizo la utafiti wako?
2. Lengo la huo utafiti ni?
3. Utafiti unafanyika eneo gani?
4. Utahoji watu wangapi?
5. Utafiti umepangwa kukamilika kwa muda gani na ulianza lini?
6. Nani anagharamia huo utafiti?
7. Jibu kwanza hayo....
Ao mabibi au vibwengo??You are not sirias my friend mimi ninabibi zangu wapo mpaka Leo na waliolewa na mtu mmoja
Karibu aiseeMkuu itabidi unisaidie research yangu it seem u have capacity
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
Ukitaka kujua kwanini Mange ni rahisi kupata wafuasi angalia tu mfano mmoja hapa. Hivi huyu akiambiwa na Mange chochote atabisha kweli si atamkubalia tu na kusema asante kwa kunifungua nilikuwa sijui. Sasa watu kama hawa wapo mamilioni. Yaani tuna janga moja la hatariii kama taifa..😀😀😀..
Ume specialize kwenye fani gani??
😀😀😀😀 huyo jamaa yupo obsessed na Mange mi hata simuelewiiChuki zingine bwana, sasa Mange katokea wapi hapa??
Dada na kaka yangu wana 50's sasa.Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu
sante mkuu mi sijawahi kuwaona eti...............Kuna wababa huku kwa kukisia 50-58
Ni mashabiki wa Chelsea wa kutupwa
Kuna mmoja mtata huo
nakuombea rafiki miaka zaidi ya mia samahani kama ntakuwa nimekukwaza but sijawahi kuwaonaMtoa Uzi acha unabe bhana mbona mm naishi na pacha wangu...
Yawezekana we ndio usifikishe lkn cc kwa neema ya Allah tutapitiliza.
asante mkuu kwa ushuhuda mi sijawahi kuwaonaMarehemu bibi yangu alibarikiwa kuzaa mapacha wa kiume kwa zao mbili tofauti, baba zangu wadogo wote wapo hai na wadogo zaidi wana miaka 45+, wakubwa wako 50+
asante na kwako piaHaa haaahaaa,teeeh teeeh teeeh !!
Karibu, mkuu !
Sema Basi nibarikiwe sana,
Mambo gani hayo ya baraka kidogo tena mkuu!!!?
Ila wakati mwingine , Unapaswa kujiuliza vigezo vingine vingi sana kabla hujaweka mada kama hiyo hapa kwenye jamvi au mahala popote.
Kwa sababu, watu wengine ukiweka mada mbele zao wakiona haina muelekeo wanakutimua au wanasema hawana muda !
Ukiwa na utafiti mwingine uni - tag ili nikuongezee nondo zaidi.
Nikutakie kila la kheri !