Nina uhakika dishi limeyumba sio mzima wewe eti na wewe unashauri nimekudharau kupita kiasi miaka hii Kuna mtaa hauna mapacha au ulishasikia wameuwawa kwa taarifa yako ninao wajua Mimi walikufa kwa magonjwa ya mungu sio kwa uchawi ulionao wewe, wewe ndo mchawi umeacha kujibu swali unaanza kujifanya mshauri wa upuuzi mi nafanya utafiti soma vizuri thread yangu uielewe na uhakika walimu walipata majibu ya opposite sana kwa akili yako hiyo
ThanksMbona wapo tu tena wengi kuliko wanaokufa.. sema kinachokuchanganya ni kwamba mapacha huwa wachache katika jamii hivyo akifa mmoja jamii hutambua kiurahisi.. lkn ukweli ni kwamba wapo hadi wazee kabisa..
Nashukuru umenielewesha kuwa wapo wachache so wakifa hufahamika mapema kidogo nimeikubali degree yako kwa hapo umenijibu vizuri kuliko ulivyokurupuka juzi thanks ubarikiwe kidogo matumizi ya taaluma yako nayaonaHaaa haaa haaaa naona umepotea uwanjani tayari. Mimi ni akili kubwa. "proactive mind" , sitaki kusubiria uue mapacha wetu baadae tuanze kulialia oooh oooh alikuwa anauliza humu JF , kumbe ni mshirikina.
Pia, kumbuka ulivyokuwa na haki ya kuuliza nami nina haki ya kujibu na kutoa maoni yangu siyo lazima nijibu upendavyo.
Wewe hapo, akili yako ndiyo ndogo sana sana, hadi unafikia kufanya huo utafiti yaani huelewi hata concept ndogo sana kuwa mapacha ni kama binadamu wengine wowote , ambao huishi eneo moja la familia wakati wa utoto kisha huelekea maeneo tofauti tofauti kutafuta maisha katika nyanja kama hizi:- masomo, kazi/kuajiriwa, biashara ama kilimo.
Ulivyo, kihiyo unadhania kuwa kwa sababu ni mapacha basi hadi umri wa miaka 40s+ wako wanakaa kiti kimoja, nguo sare, nyumba wanaishi moja ,wanaambatana kama vifaranga wa bata na kufanya kila kitu pamoja kama walivyokuwa na miaka 0-5.
Tena wewe ni bogus kabisa, hujui kuwa hata mapacha ni wachache sana katika jamii, kwa mfano, kijiji au mtaa wenye familia 1000 unaweza ukute kuna familia moja tu au hakuna yenye watoto mapacha.
Kwa kifupi, tambua kuwa wapo wengi sana wenye miaka 40's+ ila kwa sababu , wewe ni kilaza huwezi ulewa sababu zingine za kutowaona wenye hiyo rika.
Mwisho, ningekuwa katika panel ya defense ya research (thesis) yako ningekupatia 1/100. Kwa sababu hujui kitu kabisa.
Wewe, ni kilaza namba moja.
Ha
Nashukuru umenielewesha kuwa wapo wachache so wakifa hufahamika mapema kidogo nimeikubali degree yako kwa hapo umenijibu vizuri kuliko ulivyokurupuka juzi thanks ubarikiwe kidogo matumizi ya taaluma yako nayaona
LAKINI HUJATIMIZA 45!Mimi ni pacha nina 33 years na tupo vizuri na mwenzangu (All men) sote wawili tumebahatika kupata elimu ya juu kwa GPA nzuri tuu na tunaendelea kupambana na maisha kila siku, hakuna tofauti kati yetu na ndugu zetu wengine.
Acha imani potofu za kishirikina kwani umri wako haukuruhusu kuwa mshirikina.
Bila shaka ushirikina unavyokubaka. Hutaki kuamini kuwa wapo wanaofika hata miaka 90 na zaidi. Hata mimi nikafa unafikiri ukweli wako au imani yako itakuwa sahihi?LAKINI HUJATIMIZA 45!
Jaribu kuangalia pia hali ya uchumi ya familia walizotoka, waliweza kumudu gharama za matibabu ya watoto wao? Wako wanaofikisha umri wa miaka 80-90.
Wapo jamaa miaka 46 sasa afya safi wanalima
Frank de boar and his brother ronald de boar wana miaka 46 kwa sasa
Mimi Ni pacha na mwenzangu yupo tuna miaka Zaidi ya hamsini
Kwetu Wapo wana zaid ya miak 50 sas
MKUU NAAMINI WAPO ILA WEWE HUJAFIKA HIYO 45Bila shaka ushirikina unavyokubaka. Hutaki kuamini kuwa wapo wanaofika hata miaka 90 na zaidi. Hata mimi nikafa unafikiri ukweli wako au imani yako itakuwa sahihi?
Ila kwa utafiti wangu mdogo kwa mapanga ambao mmojawapo amefariki, wote ni akina dotoYou are not sirias my friend mimi ninabibi zangu wapo mpaka Leo na waliolewa na mtu mmoja
Habari za saizi sijui ni umri au nini Mimi toka nizaliwe sijawahi kuona mapacha woote wawili waliofikisha miaka 45 na kuendelea wengi hubakia mmoja na ndiye anayedumu na Mara nyingi nimeona mmoja asipokufa akiwa ni mdogo basi kwenye umri wa miaka 20 au 30 hufariki
Nimejaribu kujiuliza peke yangu naomba mnisaidie kama kuna mtu anawajua mapacha wowote wenye umri zaidi ya 45 na wote wako hai anisaidie kabla sijaendelea na utafiti wangu