Siri ambazo wanawake hawataki wanaume wajue

Wanawake viumbe wa ajabu sana! Binadam sote dhaifu ila wenzetu wamezidi, nikifikiria AKILI YA MWANAMKE ilivyo, wazo la kuoa linanikimbia kabisaaaa..! Katika kila mwanamke mwenye mafanikio, nyuma yake kuna MWANAMUME
ni rahisi kuona udhaifu kwa wengine na sio ulionao mwenyewe. you have no other option. hapo haujareverse kweli?

mie bwana hilo la kwanza ndio tunagombana na mademu kila leo...mie bwana akipita demu mzuri lazima nita comment tuu
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana! Binadam sote dhaifu ila wenzetu wamezidi, nikifikiria AKILI YA MWANAMKE ilivyo, wazo la kuoa linanikimbia kabisaaaa..! Katika kila mwanamke mwenye mafanikio, nyuma yake kuna MWANAMUME

hilo nu kweri kaka.
 
au nitakuoa.huo ni uongo wa kizamani.

Hilo nalo neno, me natamani kama tungekuwa tunaambizana ukweli mathalani natiririka Kisukari nimekutamani wk end twende kula Bata. I hate ujinga wa I love u Baby wakati mtu hajavaa nepi. Arrrggghh
 
Wanawake viumbe wa ajabu sana! Binadam sote dhaifu ila wenzetu wamezidi, nikifikiria AKILI YA MWANAMKE ilivyo, wazo la kuoa linanikimbia kabisaaaa..! Katika kila mwanamke mwenye mafanikio, nyuma yake kuna MWANAMUME
hao not yet women no longer girls wenu mnaokutana nao na wenyewe mnawaita wanawake kiasi cha kutukana wanawake wote humu mpaka mama zenu?
 
Zifuatazo ni baadhi ya tabia ambazo wanawake wasingependa wanaume wajue:
1.Anataka kuambiwa yeye ndiye mzuri tu ktk dunia nzima.Usimsifie mwenzake mbele yake
2.Jicho lake la kwanza anapokutana na mwanaume ni kuangalia mwanaume amevaa nini miguuni.
3.Wanasema wasichokimaanisha
4.Anapofanya jambo lisilo la kawaida mf.kuvaa vibaya,kubadili rangi ya mwili n.k Anataka kuvuta attention ya mwanaume.
5.Wanajua wanapodanganywa,,kimaumbile wana hisia ambazo huwatarifu kuwa mwanaume aliyembele yake ni mwongo au mkweli.
CHANGIA NA WEWE ULIZOZIONA ntarudi kuleta tabia za wanaume ambazo wasingependa wanawake wajue !!

Wanaliwa na house boys na madereva wa bodaboda
 
..basi hongereni wanaume.....(si ndio mnavyotaka hivyo??).....hongereni sana na raha zenu kwa kuwa WANAUME!
 
Back
Top Bottom