Sitakuja kumweleza siku yangu ya kufa kwa sababu hiyo ni siri yangu na Mungu tu!
sitakuja kumuambia kama nishawahi kuchepuka japokuwa nilijilaumu sana na nikatubu mwenyewe na nimeacha.
Unapiga hadi saivi? Nipe akili ulianzaje? Yupo hapa kwangu mdogo wa wife na natamani nipigesitakuja kumwambia kama nachepuka na mdogo wake
Hongerasitakuja kumuambia kama nishawahi kuchepuka japokuwa nilijilaumu sana na nikatubu mwenyewe na nimeacha.
ahahhaahhaa wewe umetishaSitakuja kumweleza siku yangu ya kufa kwa sababu hiyo ni siri yangu na Mungu tu!
ni vigumu kumwambia endapo jicho liliwahi kuliwa baada ya kuiba mke wa mtuuuu
Sitawahi kumweleza kuwa HG wote waliopita home niliwagonga na nina mpango wa kugonga kila ajaye!
Sitakuja kumuambia kuwa nina michepuko mitatu ambayo huwa nachat nayo nikiwa kazini tu na huwa naigegeda nikiwa safari za kikazi tu.....na nikiwa home nai'block hiyo michepuko ili ikipiga simu isinipate!
sitakuja kumwambia kama nachepuka na mdogo wake
Unapiga hadi saivi? Nipe akili ulianzaje? Yupo hapa kwangu mdogo wa wife na natamani nipige