Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 4,519
- 6,152
wee em kwenda huko,ushawahi sikia wapi jini anaitwa Esther au neema au Emanuel? hayo madudu ni yenu na ndo yanawavuruga akili kabisa...eti mnafundishana karate msikitini,si wehu huo?Kufuga ndevu ni sehemu ktk Uislam, hiyo kufuga majini kawaulize Wachungaji wako maana Haipo ktk Uislam
Mkuu hiyo chuki yangu dhidi yadini flani umeuonaje? Au kuuliza ndo kosa langu? Mi nadhani majibu iliyotoa yangetosha kabisa kunishawishi nakunitoa wasiwasi nilionao juu yanilichokiuliza ili mimi nawengine wenye wasiwasi kama mimi either kwa kujua ama kwakutokujua tupate elimu kama uliyoitoa. Ila kugundua chuki yamtu usiomjua kisa ameonesha wasiwasi flani juu yasuala unalodhani wewe unalijua nadhani si sahihi.Mkuu nchi nyingi za Kiarabu zina Makanisa na wanaabudu kwa amani kabisa,kwa mfano nenda Dubai ukaone kanisa lilivyo zuri la wakristo na huabudu bila bughudha,
Dini ya Kiislamu haimlazimishi mtu yeyote kua mwislam wala haimkatazi mtu kwa nguvu kuabudu anachokiamini,
Kuna nchi za kiarabu ambapo waarabu kibao ni wakristo, Nchi kama vile, Misri,Lebanon,Palestina,Syria e.t.c na wanaabudu bila kukatazwa na mtu,
Usiongee vitu usivyovijua kwa mihemko tu ya chuki zako binafsi kwa dini fulani.
Uadui upi mkuu?palikua na wayahud na wakristo wakat wa mtume katika dola ya kiislam,pana wakristo iran ya leo,misri..waislam wa tanganyika walimpokea na kumlea julius nyerere mkatoliki swafi,dhana yako tu ya uadui inakusumbua
Acha wenge joh, yule mvaa chupi msalabani ni muitaliano, amekuwa akisisitiza asiitwe Yesu ila akili zenu zimekaa pabaya mnaendelea tu... Huyo mshkaji mvaa machupi msalabani hana tofauti na giggy_money. Eti ndio atajwe kwenye kitabu kitukufu cha M/MunguMkuu lakini huyo unayemuita mvaa chupi msalabani Quran inamtambua. Ila Muhammad biblia haimtamki. Simaanishi kwamba hakuwa Mtume, ila kwakuwa huyo unayemwita mvaa chupi msalabani Quran inamtabua kama mmoja wa mitume, mpe heshima yake basi.
Mkuu namaanisha mataifa(nchi) zao ndo zingekuwa super power, wangeruhusu imani nyingine zitamalaki Duniani? Siongelei mtu mmoja mmoja maana hata hayo mataifa super power niliyoyataja yana raia waislam wengi tu kama ambavyo umebainisha waarabu wakristu.
Kwa hiyo Mungu wenu huwa ananusa hiyo harufu ya uchafu?
Kuna haja ya kuzuia watoto wasiingie misikitini ili wasiuawe
Haters, bahati nzuri mko identified hata kwenye kitabu kitukufu na Ikasemwa kbs mnayoyaficha kwenye mioyo yenu ni makubwa zaidi ya Yale mnayozungumza publicwee em kwenda huko,ushawahi sikia wapi jini anaitwa Esther au neema au Emanuel? hayo madudu ni yenu na ndo yanawavuruga akili kabisa...eti mnafundishana karate msikitini,si wehu huo?
Acha wenge joh, yule mvaa chupi msalabani ni muitaliano, amekuwa akisisitiza asiitwe Yesu ila akili zenu zimekaa pabaya mnaendelea tu... Huyo mshkaji mvaa machupi msalabani hana tofauti na giggy_money. Eti ndio atajwe kwenye kitabu kitukufu cha M/Mungu
gym si wanalipia ? kama huna hela je ?
Hakuna kashfa kubwa kama kumuabudu mvaa machupi, Ningelikuwa mm ni bora hata ningemuabudu mvaa machupi wetu Giggygranta ukitaka kashfa utaibuliwa mambo usiyoyafaham ya mohamad mpaka utakimbia. ni bora unyamaze tu maana kama huujui uislamu huwezi ujua ukristo. na ukitaka kuufahamu ukristo au uislamu niulize mimi nikueleweshe kwa upole kabisa. ila usiwachokoze watu kwa kashfa maana hutachelewa kujisomea wewe mwenyewe albadil maana kwa wengine haitofanya kazi...
kuna mwenzako mmoja ana onekana ana uelewa na anachosema wewe maamuma ndo unakuja na matusi na kashfa .but mimi napenda kama unataka haya maneno njoo inbox kwangu tuzungumze kwa kina na mistari .....
Sasa uitaliano wake wewe unakuhusu nini au unakuuma nini mkuu? Mbona hata Muhammad ni muarabu nabado mnamwita mtume nasisi wala hatumkashifu kama unavofanya wewe punguani?Acha wenge joh, yule mvaa chupi msalabani ni muitaliano, amekuwa akisisitiza asiitwe Yesu ila akili zenu zimekaa pabaya mnaendelea tu... Huyo mshkaji mvaa machupi msalabani hana tofauti na giggy_money. Eti ndio atajwe kwenye kitabu kitukufu cha M/Mungu
Hakuna kashfa kubwa kama kumuabudu mvaa machupi, Ningelikuwa mm ni bora hata ningemuabudu mvaa machupi wetu Giggy
Akili yako nawe KISODA, yule kwenye msalaba mwenye LICHUPI sio Yesu, akili yako ya kuvukia Barabara pamoja na jamaa huyo kukataa kuitwa yesu lkn bado mnaendelea tuSasa uitaliano wake wewe unakuhusu nini au unakuuma nini mkuu? Mbona hata Muhammad ni muarabu nabado mnamwita mtume nasisi wala hatumkashifu kama unavofanya wewe punguani?
Hatakama ni msukuma au mmasai wewe hakuhusu, kamawatu wanamuamini wape nafasi naheshima yao. Hayo makashfa, matusi namaneno yakijinga hayabadilishi chochote zaidi yakuhanika utaahira wako au IQ yako nindogo kuliko ya sisimizi.
Ww unamuabudu nani, mvaa machupi wa msalabani au Yesuumenena vyema granta. na hilo ulilonena nimekuelewa sana. upo sahihi kabisa. aiseee...unaonesha namna gani ulivyo bobea. nadhan aliyekufundisha dini au imani yako akisoma post zako anafurah kabisa kuwa amefanikiwa kuzalisha mwana imani mwingine anayeweza kuisaidia jamii. hongera sana.
Ww unamuabudu nani, mvaa machupi wa msalabani au Yesu
Eeemeeeeen, idiotHongera zako. una elimu nzuri sana ya dini na ya duniani. wewe umeshika sana dini yako navyokuona. siwezi kubishana sana nawe maana una upeo wa hali ya juu katika unachosema kuliko mimi nlivyo na upeo na hicho unachosema. so nakushauri uendelee na moyo huo huo. ubarikiwe zaidi katika hilo. na kutangaza vyema imani yako kwa wtu wengine pia.
Wee Yesu anakuhusu nini? Kumbe unaamini kwamba ndiye kristu bwana siyo? Sasa unasubiri nini huko mkuu? Karibu uokoke. Uokolewe katika yeye, ili upate kuuona ufalme wa Mungu. Yeye atakutoa katika mapepo machafu yawatawalayo hadi mkaua ndg zenu tena katika nyumba za ibada. HahahahaaaaaAkili yako nawe KISODA, yule kwenye msalaba mwenye LICHUPI sio Yesu, akili yako ya kuvukia Barabara pamoja na jamaa huyo kukataa kuitwa yesu lkn bado mnaendelea tu
Halafu wewe ni wakufuatiliwa wewe, unaonesha ni mmoja wao!Mbona povu linakutoka wakati ukiandikacho ni ushu...zi tu, huyo mtoto ambaye haendi shule kwa kwenda Judo kwann usimripotishe mzazi wake serikali za mtaa kwa hatua za kisheria, au umeigeuza jf kama sehemu ya kuleta porojo zako na kuondolea stress zako za kuamka na njaa kali. Idiot
Hakuna Mkristo ambaye ni mkristo Kweli anamchukia Muislamu. Hamna. Mkristo adui yake mkubwa ni Shetani, Mapepo/majini, wauaji,wabakaji,wazinzi,waporaji,wevi/wezi, wafitini n.k hao ndo maaudi wa Mkristo. mwenye sifa hizo hata kama ana jina la Kikristo ni adui wa Ukristo. UKRISTO UMEJENGWA KATIKA MSINGI MKUU WA UPENDO. YESU AKASEMA NAWAACHIA AMRI ILIYO KUU KULIKO ZOTE. NI UPENDO TU. So shetani kumtukana ,kumkashifu Yesu haikuanza leo. akiwa msalabani alikashfiwa hivyo hivyo na wafuasi wa shetani. na leo anakashifiwa pia. lakini huwezi sikia mkristo anasema aliyekashfu akatwe kichwa,anyongwe n.k. kwa nini? kwa sababu Wakristo wanapambana na Ile roho chafu ya shetani inayomfanya mtu huyo atukane au akashifu. tunataka watu kama akina Granta waendelee kuishi zaidi na zaidi. lakini pia wasihesabiwe dhambi hiyo maana hawajui walitendalo. shetani/majini/mapepo yanawatumia tu wao kukashifu na kutukana.