HahaaaaNdo matokeo ya kufundisha karate Haya sasa wataaply wapi!!! Ndo wamerud kuwaonesha kua wamefuzu
Kama ambavyo waislam hawa amini ktk ukristo ama dini nyingine yoyote na kama ambavyo kutoamin kwetu hakupunguzi ama kuongeza chochote ktk dini yako ndivo kuto amini kwako hakutupungizii wala kutuongezea chochote ktk dini yetu kwa hiyo kua tu na amani ndugu hamna anayekuhitaji uamini uislamusiku zote sijawahi amini ktk Uislamu
palikua na wayahud na wakristo wakat wa mtume katika dola ya kiislam,pana wakristo iran ya leo,misri..waislam wa tanganyika walimpokea na kumlea julius nyerere mkatoliki swafi,dhana yako tu ya uadui inakusumbuaHuwa najiuliza waarabu ndo wangekuwa super power wa Dunia hii mfano kama Marekani, France, Uk, German, Russia, China, Japan nk. Wangeruhusu imani nyingine kweli nje ya uislam?
ina maana kila mtu anayeingia uislamu basi anawaona wengine kama adui???? au anaonewa au anasingiziwa???maana kauli hizi za eti chuki zimezidi,au ukiwa Mwislamu maana yake ni kuwa Mlalamikaji wa kuchukiwa na kuonewa???wake-up Bwana.palikua na wayahud na wakristo wakat wa mtume katika dola ya kiislam,pana wakristo iran ya leo,misri..waislam wa tanganyika walimpokea na kumlea julius nyerere mkatoliki swafi,dhana yako tu ya uadui inakusumbua
gym si wanalipia ? kama huna hela je ?Nikweli,ila kwa wakati tulionao wa matukio ya kigaidi na mengineo,sio mbaya ikapitishwa sheria au zuio ya kuzuia mazoezi ktk nyumba za ibada, kwa mpenda mazoezi gym mbona zipo nyingi tu, wasizuie watu kufanya mazoezi, mazoezi kiafya ni muhimu, si wengine kupita week bila kuingia gym kupiga skwati na kulift weight akili na mwili haikai sawa,,
Bora mchinjane wenyewe huko Misikitini.Kukataza watu kufanya mazoezi ni kukiuka sheria. A lot of evils out there polisi washughulikie kwanza kabla ya kuanza na mambo ambayo hayavunji sheia
umeandika vizuri saana mkuuHili kundi lililoua watu wakisali sidhani hata kama wanaujua uislamu vizuri, kwahiyo wao walitaka wenzao wasisali ili waenda tu kushinda Polisi mpaka wenzao watolewe?
Kwa uislamu salaa inaweza kuachwa na mtoto mdogo,Mwenye matatizo ya akili,mwanamke anapokua kwenye siku zake (coz mwili unakua sio msafi) huwezi kuacha kusali kisa wenzenu wamefungwa!!
Unapofika wakati wa salaa ni lazima kusali, hata kama utakua unazama baharini ila unapofika muda wa salaa utasali japo kifikra bila vitendo kama vile kusujudu n.k na Mungu anakukubalia tu salaa yako,huwezi kuua wenzako eti kisa wanasali,
Wanajuaje hapo kwenye sala zao pengine hao waliowaua pia walikua wanamuomba Mungu awasaidie wenzao ili watoke jela kwa amani? Tusihukumu uislamu wote kwa vitendo vya vikundi fulani tuu,
Amani ni kitu cha thamani sana na ikipotea ni ngumu sana kuirudisha,tudumishe amani na tuungane wote kulaani hicho kitendo cha watu walio uawa bila hatia,
Mungu azilaze mahala pema peponi roho za marehemu wote...Amin
Kwani hapo waliohusika ni waarabu ? mbona waarabu wapo wakristo , unawakumbuka tareq Aziz wa irak, boutros boutros ghaly(katibu mkuu wa zamani wa UNO)Huwa najiuliza waarabu ndo wangekuwa super power wa Dunia hii mfano kama Marekani, France, Uk, German, Russia, China, Japan nk. Wangeruhusu imani nyingine kweli nje ya uislam?
Duh! Mbona inatisha sana!
Mtume Muhammad (SAW) anasema; "Siku za mwisho umma wangu utagawanyika katika makundi 73.Makundi 72 yatakwenda MOTONI,na kundi MOJA litakwenda PEPONI."
Anasema tena; "Jihadharini na walinganiaji walio katika MILANGO YA JAHANNAM."
Kwa hadithi hizi mbili,akina IS,Boko Haram,Al-Shabaab,Janjaweed na wengine wote duniani wenye kufanana na USHETANI wa magenge haya, HAWATAMBULIWI NA UISLAMU.Hadithi hizi zinawagusa moja kwa moja.
Mwenyezi Mungu ndio kaweka wazi kabisa kitakachowakuta kwa dhuluma kubwa wanayofanya.Anasema; "Mwenye kuua muumini kwa makusudi bila ya haki,malipo yake ni JAHANNAM.Na gadhabu za Mwenyezi Mungu na laana ziko juu yake,na ameandaliwa adhabu kubwa." (Quran; 4:93)
Kuhusu kuvaa Suruali fupi au kanzu fupi lengo ni kwamba,unapovaa kanzu ndefu, Kanzu ndefu huanza kuburuza na kuchuka uchafu na hasa najisi kama vile mikojo barabarani au uchafu wa aina nyingine kote huko njiani utakapo pita, na hata Suruali ndefu ni hivyo hiyo,
so,kwa matokeo hayo ya kuvaa Kanzu/Suruali ndefu sana,ndio unajikuta unaingia kwenye Nyumba ya Ibada au unasali huku ukiwa umevaa nguo chafu na hasa "najisi"
Bila shaka nafikiri utanielewa kama hujajikoki kubishana tu!
Hilo sio jibu la kuzuiya uhalifu.Kuna haja ya kuzuia watoto wasiingie misikitini ili wasiuawe
Mkuu ivi hujui kama kuna waarabu wakiristo?Huwa najiuliza waarabu ndo wangekuwa super power wa Dunia hii mfano kama Marekani, France, Uk, German, Russia, China, Japan nk. Wangeruhusu imani nyingine kweli nje ya uislam?
Mkuu namaanisha mataifa(nchi) zao ndo zingekuwa super power, wangeruhusu imani nyingine zitamalaki Duniani? Siongelei mtu mmoja mmoja maana hata hayo mataifa super power niliyoyataja yana raia waislam wengi tu kama ambavyo umebainisha waarabu wakristu.Kwani hapo waliohusika ni waarabu ? mbona waarabu wapo wakristo , unawakumbuka tareq Aziz wa irak, boutros boutros ghaly(katibu mkuu wa zamani wa UNO)
Siku nyingine ukienda huko unakoabudu nenda unanuka mikojo na vinyesi coz unaamini Mungu wako hanusi hiyo harufu,Kwa hiyo Mungu wenu huwa ananusa hiyo harufu ya uchafu?
Thanks Mkuu tupo pamoja.umeandika vizuri saana mkuu
Mkuu nchi nyingi za Kiarabu zina Makanisa na wanaabudu kwa amani kabisa,kwa mfano nenda Dubai ukaone kanisa lilivyo zuri la wakristo na huabudu bila bughudha,Mkuu namaanisha mataifa(nchi) zao ndo zingekuwa super power, wangeruhusu imani nyingine zitamalaki Duniani? Siongelei mtu mmoja mmoja maana hata hayo mataifa super power niliyoyataja yana raia waislam wengi tu kama ambavyo umebainisha waarabu wakristu.