Tanzania Njema Yaja
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 3,041
- 2,417
Kama wanafanya hayo mazoezi kwa nia ovu tiyari nao ni evils..... hakuna sbb ya kundi 1 la dini 1 kufanya mazoezo kwa pamoja na wengine kufanyia msikitini.... kuna watu ni evils kwenye hili na nadhani tunahitaj kuwa nao makini sana....Kukataza watu kufanya mazoezi ni kukiuka sheria. A lot of evils out there polisi washughulikie kwanza kabla ya kuanza na mambo ambayo hayavunji sheia
Ni mjinga tu au aliyepiga KITWANGA baridi ndiye atakubaliana na wewe,maana mambo hayo hamjaanza leo,Mnajifanya dini yenu ya Amani huku mkono mwingine mmshika Mapanga,mtauana sana ninyi kwa ninyi mkisingizia CHUKU,KUONEWA au KUSALITIANA,hata ilikotokea dini yenu wanafanyiana hivyo na ninyi huku mnafanya mwendelezo tu.Sasa inichunguze Mimi nimefanya nn, kama kuna sheria yoyote nimevunja I'm ready. Tatizo kubwa linalokusibu na ambacho hutaki kukisema ni roho yako mbaya na chuki kubwa dhidi ya Waislam na Uislam... Hiyo kutumia mbinu kuuhusianisha na Ugaidi ili kuuchafua haitasaidia kitu..
Halafu hata hivyo regardless maneno waliyoyasema wakati wakifanya mauaji hayatoshi hata kidogo kuonesha ni Waislam-kwani mtu yeyote anaweza take advantage ya ugomvi au uhasama baina ya wawili.
Najua akili yako kishungi huwezi hata kunielewa
Kukataza watu kufanya mazoezi ni kukiuka sheria. A lot of evils out there polisi washughulikie kwanza kabla ya kuanza na mambo ambayo hayavunji sheia
hapa akili yako ina makengeza,umeamua kuchagua upande wa kukaa na akili yako imelala hapohapohapa utakuwa umekosea, kwa afya ni sawa lkn kwa kujilinda na uonevu ( vibaka) hapana, dini zinahubiri upendo, na sheria za judo, karate, haziruhusu kutumia hvyo vitu kirahisi tu maana kuna maeneo ambayo ukimpiga mtu au kumgusa kwa nguvu anaweza pata kilema ama kupoteza maisha.
mkuu,sioni kitufe cha like,chukua dole la kati kwa komenti yako hiiAya za kishetani hizo.
Hahahahaaaaaa!! Mkuu usituvunje mbavu watu hatula mchana huu bana. Sasa suruari inakuwa imekosa nini hapo!?Arusha wapo Kilombero ukiingia na suruali ndefu wanaikata kwa mkasi,kutwa nzima mazoezi ya karate,judo.
asante, ni kwa kuwa umeunyima ubongo wako uwezo wa kuchambua na kukielewa kile nilichoandika, ila mwenye busara atasoma neno moja moja na ataelewa kile nilichoandika na atajibu kwa busara. Kama upo kwenye dini isiyohubiri upendo, jitazame upya maisha yako. Hata wanaofundisha judo na karate halisi, wanahubiri upendo wa kweli. Ila wale waliokimbia mafunzo na kujifunza kwa njia zisizo halali, mioyo yao imejaa visasi.hapa akili yako ina makengeza,umeamua kuchagua upande wa kukaa na akili yako imelala hapohapo
Kuhusu kuvaa Suruali fupi au kanzu fupi lengo ni kwamba,unapovaa kanzu ndefu, Kanzu ndefu huanza kuburuza na kuchuka uchafu na hasa najisi kama vile mikojo barabarani au uchafu wa aina nyingine kote huko njiani utakapo pita, na hata Suruali ndefu ni hivyo hiyo,Hahahahaaaaaa!! Mkuu usituvunje mbavu watu hatula mchana huu bana. Sasa suruari inakuwa imekosa nini hapo!?
Hizi imani nyingine jamani nizaidi ya uchizi. Lakini nipande zote hata wakristo wale waliopigwa kiberiti na Kibwetele Uganda nao walishavurugwa akiri kabisa hatakuona ilikuwa shida. Huko kunaitwa kuvamia imani wala siokusali. Nadhani Mwenyezi Mungu kwa vituko vya aina hii huwa anafika mahala anaduwaa tu.
Nnavojua mimi najisi inaanzia rohoni sio nguoni wala vazi lolote. Siwazuii kuendelea na imani yenu hiyo lakini maana kilamtu yuko huru kuabudu anachoamini. Ila wakati mwingine ukikariri tu vitu bilakutafari ndoinafikia mahala watu wanapata mihemko isiyo nakichwa wala miguu, ikiwemo hilo tukio la Mwanza.Kuhusu kuvaa Suruali fupi au kanzu fupi lengo ni kwamba,unapovaa kanzu ndefu, Kanzu ndefu huanza kuburuza na kuchuka uchafu na hasa najisi kama vile mikojo barabarani au uchafu wa aina nyingine kote huko njiani utakapo pita, na hata Suruali ndefu ni hivyo hiyo,
so,kwa matokeo hayo ya kuvaa Kanzu/Suruali ndefu sana,ndio unajikuta unaingia kwenye Nyumba ya Ibada au unasali huku ukiwa umevaa nguo chafu na hasa "najisi"
Bila shaka nafikiri utanielewa kama hujajikoki kubishana tu!
akili yako ina matatizo mengi,ina matege pia,ndomana unaenda sana O.Pasante, ni kwa kuwa umeunyima ubongo wako uwezo wa kuchambua na kukielewa kile nilichoandika, ila mwenye busara atasoma neno moja moja na ataelewa kile nilichoandika na atajibu kwa busara. Kama upo kwenye dini isiyohubiri upendo, jitazame upya maisha yako. Hata wanaofundisha judo na karate halisi, wanahubiri upendo wa kweli. Ila wale waliokimbia mafunzo na kujifunza kwa njia zisizo halali, mioyo yao imejaa visasi.
Hao wasijekuwa wanatumiwa ku sabotage mradi wa bomba la Kampala - Tanga
Na kama haya nayafanywa kwa mipango ya udanganyifu wa siasa chafu za hapa nchini kwankunyamazisha vilio fulano basi wajuwe kuwa athari zake zitaathiri mipango ya Serikali ya maendeleo na kujinasua kiuchumi. Hili suala liangaliwe katika jicho la tatu. Isijekuwa majirani zetu wanahusika.
Msisahau Wanyarwanda nao wanaona bora SGR waunganishe na Tanzania kuliko Kenya.
Ndo matokeo ya kufundisha karate Haya sasa wataaply wapi!!! Ndo wamerud kuwaonesha kua wamefuzukwa nini 'dojo' nyingi zinakuwa kwenye misikiti....?