Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

Nimetamani kukutukana matusi yooote....naamini unayajua yoote...tafadhali amini yote yanakuhusu wewe kila unapo pumua..

Ndugu yangu, nimekuelewa kabisa ila kumjibu huyu ni kuipa umuhimu kauli yake. Kiumbe kama huyu asiye na utu wala utashi niwakumpuuzia tu.

Wenzetu wanasema. "Don't dignify his foul mind with a response"
 
Wakurya ndo watu pekee wanaoweza kuliamsha bongo. Wengine wote maneno mengi tu
 
Sasa huoni badala ya kuomboleza yeye yuko mtandaoni kuandika upuuzi wake?

Umesikia ameeleza kisu kimetoka wapi?
Umesikia anaeleza mdogo wake aliwarushia chupa ya bia askari?
Umesikia anaeleza kama mdogo wake ndiye aliyechomoa kisu ili amdhuru askari mwenye AK 47?

Usipotii sheria utapigwa tu
Shilingi ina pande mbili,ipo siku na nyie mtadondokea mwenge
 
Hii ni kete kwa Heche, yaani atapata ufuasi. Ni sasa amemtoa kafara mdogo wake
Una uzoefu wa kutoa kafara. Polisi kushirikiana na Heche kutoa kafara haiwezekani. Fikiria angalau kwa pua maana akili zalko ziko kwa Bashite
 
Miaka ya nyuma polisi ilikuwa sehemu salama ila sikuhizi mambo yamekuwa tofauti kabisa.
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
We itakuwa cyo mzima kabisa. Kumuua raia ndo kudumisha amani?
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Bora kukaa kimya kuliko kudhihirisha upumbavu wako.
Kwa hiyo Polisi wanaruhusiwa kuuwa mtu, tena wako naye. Halafu vitu vingine ni common sense tu, huoni kwa kuona wametenda kosa kinyume na sheria, wanajaribu kuficha mwili. Hao/huyo Polisi ni waharifu kama watu wengine, wapelekwe mahakani tu na wafungwe. Ila wewe jamaa ni mjinga kweli
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Hivi mkuu haya uliyoandika yametoka katika medula oblongata yako au umetapika????

Maana sielewi Kama mtu timamu mwenye medula oblongata inayofanya kazi anaweza kusema haya!!!!

INANIUMA SANA!!!!
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Tunajua ccm ni chama kilichojaa wapumbavu lakini wengine kiwango chao cha upumbavu kinavumilika. Wewe ulikuwa kati ya wapumbavu wanaovumilika lakini tangu Feb,2018 umekuwa wa ovyo kuliko neno lenyewe. Binadamu anayefurahia kufa kwa binadamu mwenzake ni zaidi ya mnyama. Umejiunga na kundi la Kina YEHODAYA na Jingalao.
 
Mliogopa kuandamana msiuawe. Haya wanawafata huko huko mitaani. Hizi kesi zitazidi kuwa nyingi sana. Kama aliyeemuua yule binti(Akwilina) kaachiwa hivi hivi, watauwawa wengi sana. Na hivi mnajulikana waoga, hamuezi fanya kitu. Mtalalamika mitandaoni tuu.
 
nimesoma twitter mdogo wa mbunge john heche ,suguta heche amefariki baada ya kukamatwa jana usiku na polisi na kisha moja ya polisi hao kumchoma kisu na akavuja damu mpaka kufariki!!! imenishangaza sana!! wenye taarifa zaidi mje hapa Mimi nawasilisha tu
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI

Kwa hiyo angekua kaka yako "KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi" ni sawa tuu akiuawa?
 
Back
Top Bottom