Sirari: Wananchi wakusanyika kituo cha Polisi baada ya Polisi kudaiwa kumuua mdogo wake John Heche, Suguta Chacha

Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI

Pamoja na yote.
Umenena vema
 
Mkaidi hafaidi hadi siku ya Idd, Subiri yakufike ndio utajua. Endelea kupamba jukwaa.
 
Huyo mleta habari abalance habari yake kwa kuleta habari iliyokamilika. Mimi sijawahi kuona polisi wakitembea na visu wangesema bunduki ningekubali .Habari ameileta ya upande mmoja tuu aelezee tukio zima lilivyokuwa kama alikuwepo
 
Huyo mleta habari abalance habari yake kwa kuleta habari iliyokamilika. Mimi sijawahi kuona polisi wakitembea na visu wangesema bunduki ningekubali .Habari ameileta ya upande mmoja tuu aelezee tukio zima lilivyokuwa kama alikuwepo
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
tulitee habar ya upande wa pili bhc...asa kila habar ya upande mmoja huitaki hata kama ni ya ukweli ..
 
Huyo mleta habari abalance habari yake kwa kuleta habari iliyokamilika. Mimi sijawahi kuona polisi wakitembea na visu wangesema bunduki ningekubali .Habari ameileta ya upande mmoja tuu aelezee tukio zima lilivyokuwa kama alikuwepo
Mkuu hebu tusaidiane, Polisi akimkamata muhalifu akiwa na silaha anaruhusiwa kumuacha nayo?
 
Hivi kabla ya kuwalaumu polisi kuna yeyote amekaa atafiti kwamba huyo kijana baada ya kukamatwa alireact namna gani? Mbona watu mnataka kutuaminisha kwamba polisi walimkamata tu na kuamua kumchoma kisu? Mnasema uongo kwa faida ya nani. What is huyo kijana alianza kupambana na hao polisi kwa kutumia hicho kisu na akawahiwa yeye? Huyo anayesema kwamba walitaka kumtupa hivi kweli inaingia akilini mtu kakamatwa bar huku watu wakiona halafu auawe kisha atupwe na watu waje waseme hawajui katupwa na nani? Hebu tuache kutengeneza drama kwenye mambo serious. Na hapo ndipo tunajikuta tunapoteza haki zetu kwa kuingiza siasa hata kwenye mambo yanayohitaji siasa kuwa pembeni.
Nmegundua kitu mtoa maada ameandika kichuki zaidi, nilipo ambiwa stori kamili ndio nmemdharau mtoa post. Shame on you dada!!! Kumbe huyo marehemu alikuwa anataka kuwaadhibu hao askari kwa kutumia icho kisu.
 
subirini ripoti ya polisi ..ila nahis wanaeza sema kuna askar alikua akimenya embe na kisu ndio kikaangukia kwa huyo jamaa kwa bahati mbaya
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Kwahiyo ndo achomwe kisu.....
 
Hata wakiua wabunge 20 hakuna mtanzania atakaechukua hatua,
Heri kupigania haki za mbwa kuliko za watanzania... Sheet hole people acha wafe wote kije kizazi chenye akili
Wewe ndio umeongea mkuu,

Watanzania acha tufanyiwe unyama tu na asitokee wa kututetea maana bado hatujitambui
 
Msitoe shutuma kwa jambo ambalo halija fanyiwa uchumguzi sio haki kulaumu kabla ya kujua ukweli wa jambo lenyewe.
Acheni hasira kwani siku zote matokeo ya hasira ni majuto.
Ukikutwa na hao jamaa kama wastaarabu hawana shida kabisa.Ila ukutane na wenye sifa ukajaribu hata sekunde kujibishana nao utaelewa vyema.Siwahukumu kwa kuwa ni kaka zetu,baba zetu mama zetu na dada zetu pia.Baadhi yao wanaolishwa ujinga kwa sasa ndio wanatuletea mambo kama haya ambayo tunahukumu mapema kabisa.
Maana hawa wakikuta Bangi kwako hata kama jirani alikuwekea huwa hawaelewi hata kidogo,sasa kwa Mazingira kama hayo yenye Taharuki na CHUKI ambayo miaka ya hivi karibu inazidi kupandikizwa AMINI nakueleza kuna mengi sana kati ya POLISI na RAIA.Si Sirari tu popote pale kama hali itaendelea hivyo.Polisi wakiendelea kuwaona RAIA kama wajinga ieleweka hakuna JESHI lilowahi sinda watu ambao wakiamua kufanya kazi zenu.Wote ni wanadamu na KU adapt ni swala la muda na mazingira chochezi.Badilikeni na Muone RAIA kama RAFIKI na si mtazamo wa kihalifu halifu.
 
wana tarime tujihami kwa nguvu zote ukiona polisi anakatisha mbele yako ujue hapo hakuna usalama Pambaneni kwa umoja..mtashinda uonevu huu wa awamu ya tano.
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Haki ya kuuliwa?? Are you seriously? Goes around comes around. Mark my words mkuu!
 
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Ngoja yakufike uje utueleze na ww maana unaona ni simple tu kuandika upuuzi wako hapa.Polisi wamekiri mtuhumiwa amefika kwenye mikono yao vp ww unatetea hao polisi???
 
Back
Top Bottom