boaz mwalwayo
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 5,819
- 4,238
Najiuliza kunatofauti gani kipindi kile cha ukoloni na kipindi hichi cha sasa kamata weka ndani wapinzaniBetter were colonial days

Nimetamani kukutukana matusi yooote....naamini unayajua yoote...tafadhali amini yote yanakuhusu wewe kila unapo pumua..
Na ndicho kilichotokea, Heche aeleze vizuri kuwa mdogo wake anatembea na visu ili kudhuru watu wengine. Kisu chake ndicho kimemmaliza. Na ni wakurya kwa wakuryaHeche alishatuambia kuwa wao ni jino kwa jino..ngoja tuone
Shilingi ina pande mbili,ipo siku na nyie mtadondokea mwengeSasa huoni badala ya kuomboleza yeye yuko mtandaoni kuandika upuuzi wake?
Umesikia ameeleza kisu kimetoka wapi?
Umesikia anaeleza mdogo wake aliwarushia chupa ya bia askari?
Umesikia anaeleza kama mdogo wake ndiye aliyechomoa kisu ili amdhuru askari mwenye AK 47?
Usipotii sheria utapigwa tu
Una uzoefu wa kutoa kafara. Polisi kushirikiana na Heche kutoa kafara haiwezekani. Fikiria angalau kwa pua maana akili zalko ziko kwa BashiteHii ni kete kwa Heche, yaani atapata ufuasi. Ni sasa amemtoa kafara mdogo wake
Bashite yule achana naye, Heche aeleze mazingira yalikuwajeUna uzoefu wa kutoa kafara. Polisi kushirikiana na Heche kutoa kafara haiwezekani. Fikiria angalau kwa pua maana akili zalko ziko kwa Bashite
Heche yuko Dodoma mbona kama akili yako imezikwaBashite yule achana naye, Heche aeleze mazingira yalikuwaje
We itakuwa cyo mzima kabisa. Kumuua raia ndo kudumisha amani?Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Bora kukaa kimya kuliko kudhihirisha upumbavu wako.Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Hivi mkuu haya uliyoandika yametoka katika medula oblongata yako au umetapika????Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Tunajua ccm ni chama kilichojaa wapumbavu lakini wengine kiwango chao cha upumbavu kinavumilika. Wewe ulikuwa kati ya wapumbavu wanaovumilika lakini tangu Feb,2018 umekuwa wa ovyo kuliko neno lenyewe. Binadamu anayefurahia kufa kwa binadamu mwenzake ni zaidi ya mnyama. Umejiunga na kundi la Kina YEHODAYA na Jingalao.Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Haya ndio matukiio AMBAYO CHADEMA MTAANZA KUTENGENEZA KAMA PLAN C ya kupambana na SERIKALI baada ya maandamano kushindikana kwa mara ya pili....
Huyu mleta habari anajaribu kutengeneza STORI kuwa kubwa kumhusisha HECHE kwenye hili.....ETI MDOGO WAKE HECHE...kwa hiyo akiwa mdogo wake ndio inakuwaaaje???
KAMA KAINGIA KWENYE KUMI NA 18 za polisi kijinga kijinga acha APATE HAKI YAKE....
Afu sijui kwanini unapenda kuleta HABARI ZA UPANDE MMOJA TU.....
CHADEMA NYIE HAMTAKI KABSA KUONA NCHI HII IKITAWALIKA NA KUWA NA AMANI
Imefika wakti sasa police tanzania iache kuwachukua form leaver.
Wanatumia nguvu sana kupitiliza hawatumii akili kabisa[/ Kuna baadhi ya sheria zibadikishwe police kiwe chombo huru kiache kutumiwa na wanasiasa
Imetokea wapi?Ujinga wa watanzania ni mtaji kwa serikali ya JPM