neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 681
- 2,293
Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta
Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa yupo upande wa nyambari nyangwine hivyo inadaiwa katekwa na maadui zake!
kama CCM wanafanyiana hivyi wao kwa wao! Kwa wapinzani itakuaje?? Kwa sasa upinzani upo ndani ya ccm kwenyewe! Ushauri wangu! No reform no election ya heche haiepukikani