amepotea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kiredio Jr

    JamiiForums Tanzania Tangazo la kupotea Kwa Bi. Eda Seme

    Asalaam alyekum, Wapendwa mnaye muona hapo juu amepotea tangu jana majira ya asubuhi akitokea kibaha kwenda Kimara. Mama yetu kipenzi haongei na hasikii ukimpata mpe kalamu anaweza kuandika jina lake anaitwa Eda Seme. Tafadhali unapomuona piga namba hii 0784325989/ 0683460400 kwa mawasiliano.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taifa lina haki ya kujua Makamu wa Rais mstaafu yuko wapi, kama amepotea atafutwe

    Mnaweza kudhani kuwa kutoonekana kwa makamu wa rais mstaafu ni jambo dogo mbele ya wananchi. Hili siyo jambo dogo hata kidogo. Kutoonekana kwake hadharani kunawafanya wananchi wajiulize maswali mengi sana, miongoni mwa maswali hayo ni, 1. Je yuko hai au amekufa? 2. Je nchi hii iko salama kiasi...
  3. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Amepotea, anatafutwa

    Anaitwa Nashir Adam ana umri wa miaka 29 mkazi wa Kigamboni Dar es Salaam, familia inamtafuta baada ya kutoonekana wala kupatikana kwenye simu tangu tarehe 28 ya mwezi June. Familia imejitahidi kadri ya uwezo kumtafuta bila mafanikio, tunaomba kwa teyote atakayefanikiwa kumuona popote apige...
  4. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 SIRARI -Tarime wananchi waandamana Diwani ambaye amepotea baada ya kutangazwa ameshinda

    Muda huu risasi za moto zinarindima baada ya wananchi kuandamana na kufunga barabara kumtaka diwani ambaye inadaiwa ametekwa akiwa Tarime na hajulikani alipo! Hali ambayo imepelekea wananchi kuandamana kumtafuta Inadaiwa huyo diwani alikuwa yupo upande mwita waitara, na mpinzani wake alikuwa...
  5. Inside10

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lakanusha kumshikilia Sheikh Zuberi Nkokoo Mkoani Singida

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida lakanusha taarifa zinazozambaa kuwa limemkamata na kumshikilia Shekhe Zuberi Nkokoo (53) mwalimu wa dini ya Kiislam kutoka Taasisi ya Islamic Foundation ambaye aliripotiwa kupotea Juni 02, 2025 majira ya saa 5:30 usiku akiwa karibu na Sheli ya Lake Oil iliyopo...
Back
Top Bottom