TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

Nyerere hayati alimpenda sana sana

mara kadhaa alimtaniaa....Nakumbuka ile hutoba ya kuruka ndege ya Mw.......ma weeee
Ukabila umebaki mahala fulani fulani na wala sio jambo la kujitapa kuna wakati niliwatuma nadhani ilikuwa Zaire miongoni mwao alikuwapo sir George kahama sasa ndege ikaanza kuyumba huku mara kule hali ikawa tete sir George mwanzo akasema "my GOD "ndege ikaendelea kuyumba akasema "mungu wangu "sasa ikazidi kuyumba akasema "maweeee "
 
RIP
Nyama ya udongo.
Uzuri wote unaoza!
Marafiki zako wanakukimbia
Unakuwa leo shetani!!!
 
Marehemu alifanya mengi sana hapa nchini ikiwa ni pamoja na kuanzisha CDA hapo Dododma!! R.I.P mzee Kahama.
 
Back
Top Bottom