Mwenzio labda anawaza vyetiwewe unawaza nini?
Yupo Lusinde naamini naye alikuwepoKwa miaka mingi mzee Kahama alikuwa ndiye waziri wa baraza la kwanza la mawaziri ambaye alikuwa hai.
Mpaka anafariki alikuwa hapungui miaka 90. Mungu amempa umri mkubwa, na hekima na busara zake zimewasaidia wengi waliokuwa karibu nae.
Nitamkumbuka mzee huyu kwa ucheshi wake, ambao upo ndani ya damu ya familia yake. Ukiwa karibu yake au karibu ya mdogo wake ambaye alirudi Kagera miaka kadhaa iliyopita, ilikuwa vigumu kujihisi unyonge au ukiwa.
RIP Mzee Kahama. Historia itakutendea haki daima.
Nikweli Nyerere hakumpa hiyo title ya Sir ila alikua anamtania kwa kumuita sir Kutokana na kiingereza kizuri alichokua akizungumza na namna yake ya uvaaji.Sina Maelezo sana ya kutosha, lkn niliwai sikia title ya sir kapewa na Nyerere na yeye Ndio mtz wa kwanza kupewa title hiyo ijapo hakuwa Mwalimu kama wengi wanavodhan kuwa title ya u-sir anapewa mwl pekee
Nyie mlikuwa mnakaa mbali na mji ndio maana mliishia kununua phonex, mlitakiwa mhame Kituntu / MabiraKatafuna sana wilaya yangu ya Karagwe!
Enzi hizo za vyama vya ushirika Mzee wangu alikuwa anavuna mpaka gunia 300 za kahawa mpka anakufa miaka ya 90 alimudu kununua baiskeli ya phonex basi! CCM Mungu anawaona..
Kahama aliwahi kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani (1961-1962) kabla nafasi hiyo hajaichukua Oscar Kambona (1962-1963).
Aliwahi pia kuwa Mjumbe wa Bodi ya kwanza ya NBC mwaka
Pole Sana Sophia simbaR.I.P baba yetu
Unazitaka!?mzee wa long time sana huyu ! sijui kaacha bilion ngapi