TANZIA Sir. George Kahama afariki dunia

Mwanga wa milele uangaziwe, upumzike kwa Amani, amina.
 
Poleni sana wafiwa.
Yatosha ulipolitumikia Taifa letu, daima tutakukumbuka kwa mchango wako usiokuwa na kifani, Sir. Kahama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…