sipendilei harusi na sifikirii kama nitajaifanya.

sipendilei harusi na sifikirii kama nitajaifanya.

mi namuunga mkono ndugu yangu.kwa nn upate ufahari na faraja ya cku moja na kuishi maisha ya kawaida baaden ktka ndoa.wanaoongelea ukumbusho kwan ukumbusho ni lazima mijihela mingi i2mike au mpaka kufanyike kufuru.acheni ulimbukeni.mi michango nachukua ksha harus ya kawaida.mkiniuliza nawaambia najipanga kwa ajil ya maisha ya ndoa pambaf.
 
mi namuunga mkono ndugu
yangu.kwa nn upate ufahari na faraja ya cku moja na kuishi maisha ya
kawaida baaden ktka ndoa.wanaoongelea ukumbusho kwan ukumbusho ni lazima
mijihela mingi i2mike au mpaka kufanyike kufuru.acheni ulimbukeni.mi
michango nachukua ksha harus ya kawaida.mkiniuliza nawaambia najipanga
kwa ajil ya maisha ya ndoa pambaf.

huwa na wanda sana kuona piplez wanavo jipa umaskini utakuta kijana ndo kwanza anaanza life hata godoro hana lakini michango ya hausi anatoa ile mbaya kama pesa yake haina la maana la kufanyia sibora hyo pesa angetuma kijijini kwa bibi na babu yake ajipatie blessing coz wengi we2 tumewasahau bibi n babu zetu wanaishi maisha ya mboga bila mafuta huko village.
 
huyo utakaye mwoa ana kazi kweli...harusi lazima watu wale, wanywe kwa raha zao.....

huyo utakaye mwoa ana kazi kweli...harusi lazima watu wale, wanywe kwa raha zao.....

nitakae muoa she'll like my swagz ,watu wale wa sile, wanywe wasinywe au wanune wasinune,time ikifika lazima ni vute mtoto ndani with no wedding. mpendwa Ciello inaonekana unapenda sana kuuza sura na kukonga nyoyo za watu so, huyo mwenzi wako anakazi kweli kweli....
 
Hahahah harusi lazima tena bonge la pati tena tutafunga mtaa hahahah

mwenzangu na hela nayo iwepo mana utaita watu kwenye kikao wanakuuliza unashilingi ngapi unaona hata aibu kusema, ukijikamu baada ya harusi na mkeo namga zinaanza kupaa mana umekwanhua akiba yote na majuku ndo yanaongezeka hujakaa sawa mtoto huyo, mi simshangai kwakweli
Namshangaa harusini jambo la heri... ni once in a life time.. lazima watu wacheze, wale, wanywe na wafurahi,,

Mambo ya kuoana kama wezi kimya kimya mnamficha nani,, peleka kitu karimjeee watu wako wakampokee mwali huyo
 
Hahahah harusi lazima tena bonge la pati tena tutafunga mtaa hahahah

Ciello mamie tunatofautiana tafsiri ya basic nids kwa mtu na mtu, huyu ndugui yetu kwake harusi ni luxury nid so hawezi ifikiria kwa sasa kama bado hajatimiza basic nids,once akifika level nyingine naamin hata hili atalipa kipaumbele.na nani kamwambia harusi zote ni gharama jikune utakapoweza ndo maana hata magari yanatofautiana
 
Tuko pamoja mleta mada,tangu utoto hili suala halijawahi kunigusa hata tone.Nikijiangalia kwa jicho la tatu huwa najiona nina JUKUMU ZITO la kuandaa future ya mpaka KIZAZI CHANGU CHA NNE Kwa kifupi sina hela ya kufuja kipuuzipuuzi! I stick to my words!
 
Back
Top Bottom