huyo utakaye mwoa ana kazi kweli...harusi lazima watu wale, wanywe kwa raha zao.....
Namshangaa harusini jambo la heri... ni once in a life time.. lazima watu wacheze, wale, wanywe na wafurahi,,
Mambo ya kuoana kama wezi kimya kimya mnamficha nani,, peleka kitu karimjeee watu wako wakampokee mwali huyo
huyo utakaye mwoa ana kazi kweli...harusi lazima watu wale, wanywe kwa raha zao.....
wakuu habari zenyu kuna hii kitu harusi adon no faida zake me uwanaona kama kufanya harusi nikupoteza pesa tu!inaccodance to my version,sijue mtazamo wenu wanajf kuhusu hili ni upi.
Naomba niwe Wedding Planner wa harusi yako
wakuu habari zenyu kuna hii kitu harusi adon no faida zake me uwanaona kama kufanya harusi nikupoteza pesa tu!inaccodance to my version,sijue mtazamo wenu wanajf kuhusu hili ni upi.
hahahahahah usijali wakati ukitimia utapata chance...
kila mtu Ana motivation yake,wengine penzi ,wengine mchochomeo wa nguvu,wengine pesa, wengine society inawaforce.some are thieves ,murders,parasites.wakuu habari zenyu kuna hii kitu harusi adon no faida zake me uwanaona kama kufanya harusi nikupoteza pesa tu!inaccodance to my version,sijue mtazamo wenu wanajf kuhusu hili ni upi.