Sipendi wanawake,labda ndo mafanikio yangu.

J putin

JF-Expert Member
Oct 5, 2018
1,263
1,195
Wakuuu habari,

Tunaelekea kumaliza mwaka na tumebakiza masaa machache sana,

Mafanikio yangu kwa kiasi kikubwa nadhani inatokana na kutopenda wanawake na kutoonga ela kwa hawa viumbe,Ila ukinionga mimi freshi tu,

Ela yangu inaniuma sana ninapotoa kumpa mtu mara mia nitampa mwanaume mwezangu kuliko kuhonga mwanamke

Babu yangu aliniambia mwanangu ukitaka kufanikiwa kaa mbali na wanawake wapenda ela na usiwe mtu wa kunywa pombe maana wanawake na sterehe ni vitu viwili vinavyoweza kukufanya ukawa maskini,

Japo uzi mwanamke nitakuwa naye Ila akiniomba ela nitamwambia sina hata kama nitakuwa na ela nitamwambia sina,

Na kweli mafanikio nimeona kwa kuwa nipo mbali na starehe zisizo kuwa na ulazima,

Kwa wanaotaka kufanikiwa 2019 kaa mbali na kiumbe mwanamke,hao wapenda ela

Oa mwanamke weka ndani mpe kila kitu Ila usigawe ela nje ya ndoa.

2019 nitaendelea kuwa mchumi kweli kweli maana mimi hata shilingi hamsini nitakudai na huwa sina tabia ya kudharau hata hiyo hamsini

Kikubwa ukitaka kufanikiwa penda kile unachofanya na kinakuingizia ela,

2019 natengemea kujenga sheli kila wilaya na hii ndoto lazima nifanikishe

Heri ya mwaka mpaya wana jf wote.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mafanikio gani hayo mkuu. Tujulishe sisi tunaohonga tujipime ili tupunguze kuhonga au tuendelee.
 
Kuhonga kipaji sio Kila mwanaume a nacho

b7090f7aafd788232d92acabbfc55c30.gif
 
Back
Top Bottom