Kwa hiyo hizo hela na Mali unazifanyia nini kwa mfano? Maana kwa tabia hiyo naona hata ndugu au watu wenye uhitaji huwasaidii.
Sikiliza, tunatafuta pesa ili tukidhi mahitaji yetu na ya watu wanao tuzunguka. Sasa kama una mpenzi na unampenda, akiwa na shida ambayo iko ndani ya uwezo wako kwa nini usimsaidie?
By the way unapotoa hela kwa nia njema kusaidia wengine ndo mungu anakubariki zaidi