Sipendi wanaume!!

Sipendi wanaume!!

Tatizo ID mpya nyingi za sasa za wadada humu JF zinamilikiwa na wanaume
 
Hizo ni hasira za kuachwa/kuacha,zikipoa utawapenda tu.
 
Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'

Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
Ukikua utawatafuta na kuwapenda mwenyewe

D.A"mwanaume mashine"
 
Kashapigwa kibuti huyu mtieni moyo tu
Kaza moyo mama mwanaume anayefanana nawewe atakuja tu
 
Kuna umri utawapenda na kuwaganda kama ruba, muda huo nao wanakukwepa
 
Back
Top Bottom