Wanaumidha sanaPole sana na ndio jinsia ya pili iliyobaki ndani ya dunia hii usipowapenda itakuwaje sasa.
Jitahidi uwapende bana ndio faraja zenyewe hizo.

Wewe sio wa kwanza kuumizwa. Cha muhimu usikurupuke katika kuwapenda japokuwa saa nyingine ni sawa na kuweka mkono kizani.Wanaumidha sana![]()
Wewe sio wa kwanza kuumizwa. Cha muhimu usikurupuke katika kuwapenda japokuwa ni kama kuweka mkono kizani.

Umeonaee jitahidi sasa.Yeap,its true![]()
Uko vizuriUmeonaee jitahidi sasa.
You get what you work for not What you wish for 
pole sana lkn hata usipowapenda lakini mwisho wa siku utaingia ndani ya nyumba ya huyo usiempendaSipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
wanaumiza sababu na wao wanaumizwa watoto wa kike wakitulia nawao watatuliaWanaumidha sana![]()
Uko vizuri
You get what you work for not What you wish for
![]()
Ni msichana huyu sio mwanamke.just take a wild guessUna umri gani?
Kabisa endelea na msimamo wako mpaka utakapokuwa mwanamke.wanaume hawaumizi wanawake, wanaumiza wasichana.Sipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???
kwahiyo na babako pia humpendi? wanawake akili zenu tukisema zinaona mbele ya pua mnasema tuna kashfa. haya banasiwapendi kwa sababu ni masikini balaa hawana akili za kutafuta pesa....
ur great thinkerKazi ya mwanamke si kumpenda mwanaume bali kazi yake ni kumtii mwanaume so ww umetambua majukumu yako bahati mbaya wanawake wenzio wanafanya kazi ambayo si yao ya kumpenda mwanaume wakati kazi ya kupenda ktk mahusiano ni kazi ya mwanaume ndio maana siwez shangaa wanawake weng wakiimba nyimbo za Aslay - likizo
Mama yako aliwapenda wanaume ukazaliwa, mjinga weweSipendi wanaume kwa sababu wanatesa wasichana[/wanawake mpk wanabaki wanajiburudisha na wimbo wa aslay-likizo'
Je ww msichana mwenzangu kwanini hupendi wanaume???