Sipendi ndharau…………………………..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sipendi ndharau…………………………..!

Discussion in 'Entertainment' started by Mtambuzi, Dec 22, 2011.

 1. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #1
  Dec 22, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mmmmmmh
  Ommmmmmmh
  Aaaaah...Ndipo akataka kujilinganisha na mimi, ndipo akataka kunipanda kichwani, ndipo nilipomshusha thamani ……….
  Wala simkatazi, sababu ni mie wake mumewe, ila asizidi akavuka mipaka
  Wala simkatazi, sababu ni mie wake mumewe, ila asizidi akavuka mipaka x 2

  Aaaaaah
  Hakh, sipendi dharau,
  oooooooooh
  kwa nini unipande kichwani
  Aaaaaah
  Nasema sipendi dharau,
  oooooooooh
  kwa nini unipande kichwani  nina – pokupikia chakula siyo mjinga
  Na nina – pokuwekea maji ya kuoga siyo mjinga vile vile
  ila ni upendo wangu kwa sana, basi niheshimu usivuke mipaka,
  juzi juzi ulikuja na ka-boy boy ukajishauwa sana, ukasema kamechoka tena kako hoi hoi…………Nimwekee maji ya kuoga

  Vipi!

  He, taulo langu nimpe, na hata msosi wangu pia ale………………

  Hizo dharau dharau dharau……………… sipendi dharau!


  Aaaaaaaah
  Hakh, sipendi dharau…………….
  Oooooooh
  Kwanini unipande kichwani……………….
  Aaaaaaaah
  Nasema sipendi dharau…………….
  Oooooooh
  Kwanini unipande kichwani……………… x 3


  Source: Barnaba na wimbo wa sipendi dharau……..
   
 2. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #2
  Dec 22, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,081
  Likes Received: 6,545
  Trophy Points: 280
  mkuu unaonaje tukafanya mazoezi ya RE-MIX ya hii hip hop thikukuu hii?
   
Loading...