Sipendi mwanamke aniombe hela

Sipendi mwanamke aniombe hela

Sijajua ni kwamba ni roho mbaya au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke,sipendi mwanamke aniombe hela, yaani kama nina mwanamke halafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta,hata kama kaomba 4000 huwa naumia sana nikimpa.Sasa sijajua hii maana yake nini.
UNDER AGE! OTHERWISE UNAKUWA MWILI TUU!
 
Sijajua ni kwamba ni roho mbaya au ni ushamba au ni kutojua matunzo ya mwanamke,sipendi mwanamke aniombe hela, yaani kama nina mwanamke halafu akaniomba hela basi ajue tunakosana hapo na nakuwa simtaki tena na namba yake nafuta,hata kama kaomba 4000 huwa naumia sana nikimpa.Sasa sijajua hii maana yake nini.
Na wewe usiombe manyumba au wajibika maana kila kieleacho kimeundwa sasa utaunda bila nyenzo?
 
Ha ha....
hupendi mwanamke akuombe hela kumbuka hasi na chanya ndizo zinazoendana..!
and if you don't like stay without money.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom