...sipendi maswali haya!

- Mbona umenenepa hivyo?

- Umeoa?

Maswali gani yasiyo na tija huwa yanakukera mwenzangu?

Mtu akitaka aniudhi basi aniulize hilo swali, Silipendi kbs ktk maisha yangu.
mtu unakula na kunywa kila siku kwa nini usinenepe......!!!!!!!!!!
 
Usijali maisha ya kila aina ya maswali
 
Mtu akitaka aniudhi basi aniulize hilo swali, Silipendi kbs ktk maisha yangu.
mtu unakula na kunywa kila siku kwa nini usinenepe......!!!!!!!!!!

Hahahah...washamba tu hao Shem, sijui wanadhani kila mtu anaishi Somalia ambako mtu akijamba tu lazima wamwandame, maana mtu hawezi toa mashuzi kama hajala!
 
Kisa mwingine kaolewa/kaoa basi ndugu,jamaa na marafiki utawasikia huko huko ukumbini"ehe na wewe utaoa/utaolewa lini"?
I wish wangejua kuwa swali lao linakera wangekaa kimya.......
 
Afu shem unajua inabidi tukae kama kamati ya mtu 3 kuhusu safari ya TA
Mimi, wewe na yuleeeeee.......
 
Basi nitakupigia baadae tuongee mpendwa tar ndio hizo zayoyoma....
 
Hakuna swali nililolipenda kama hili.....

"Mtoto mzuri kama unakosa hela"

Sijui wanadhani ukosefu wa hela unachagua?????
 
Vip unakutana na swali kama hili..,."shost aisee sikuizi unamahips vip mchina nin?".....Au "shost sion C6 akikufanyia kampen vip kakutema nin?"
 
Last edited by a moderator:

we jamaa umeanza majungu, hebu niambie mmeanza ushosti tangu lini? au unatafuta mbinu ya kurudisha majeshi kwa niaba ya yule ndugu yako nani vile? kapoteeea
 
Ha,ha,ha,......Usiue mtu nilikua najaribishia kuuliza maswali yanayo mboa cl kumbe yanakuboa wewe.Kale kajamaa kamepotea ile mbaya utakuta walikalamba ban maana akachelew kuharibu ila juzi nilim-pm hajareply
 
Kisa mwingine kaolewa/kaoa basi ndugu,jamaa na marafiki utawasikia huko huko ukumbini"ehe na wewe utaoa/utaolewa lini"?
I wish wangejua kuwa swali lao linakera wangekaa kimya.......

Yaani hao ndo wanaboa hasa wewe marejesho wape jibu hili..... Hivi kuoa/kuolewa ni sare za shule tuvae sote kwa wakati mmoja?? Kila mtu ana muda wake ebooo!!
 
Last edited by a moderator:
Hakuna swali nililolipenda kama hili.....

"Mtoto mzuri kama unakosa hela"

Sijui wanadhani ukosefu wa hela unachagua?????

Wnadhani ATM huwa inatoa tu...! Wangejua hela hazichagui.... Na zina majina tofauti atii..
Kanisani....sadaka
Msibani.... Rambirambi
Kwa bus...nauli
Bar... Bill
House rent.... Kodi.. Haya ongezeni nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…