Huna sampo ya msambaa wahumu umuite akuje mchapa fimbo mtoa mada????
Sina... Ngoja waje kama wapo...Huna sampo ya msambaa wahumu umuite akuje mchapa fimbo mtoa mada????
πSina... Ngoja waje kama wapo...
Naomba mwongozo πΆ!Zitakuwepo Youtube nadhani...
Wewe unapenda ukorofi wewe... πNaomba mwongozo πΆ!
πWewe unapenda ukorofi wewe... π
FUNZA?Ila pia wasambaa wengi Wana funza miguuni sijui kwanini nadhani ndio kabila linaongoza kwa funza Tanzania.
100%Fanya makosa yote duniani ila hakikisha hauoi mpare