Haya bhana.Lafudhi yenu inakera mnaongea kwenye mashavu na ulimi na koromea Bora nimsikilize mchaga nainjoi ila sio msambaa.
π Nakupenda ujue!Uipende usiipende ndio imeshakuwa hivyo wivu tuu
Alafu mpaka kufikia hatua ya kuwafuatilia maana yake unawapenda na lafudhi yao
Kwa lipi eeeeeπ Nakupenda ujue!
Unampenda mwanaume mwenzio?π Nakupenda ujue!
Hiyo avatar yako hunichanganya mara kwa mara.Kwa lipi eeeee
Acha mkuu!π₯±Unampenda mwanaume mwenzio?
Hahaha π eti fimbo ya Nyerere.Wasambaa wenye shape ni elfu moja kwa mmoja. Wako kama fimbo ya nyerere.
Jichanganye uone.Acha mkuu!π₯±