Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ww ni kei au Me tuanzie hapo kwanzaJaman mnisaidie au utakua ugonjwa au nimerogwa katika kitu ambacho sipend ni kuoga sijui kwann yan Ninaweza pita siku 2 mpka tatu sijaoga hata nikienda kazini naingia bafuni napiga passport size natoka
π π π π Nini kimetokea??Aposto kuna muujiza umetokea huku...
Kuna mtu haogi zaidi ya siku 3 na bado anaenda kazini hivo hivo, sio hilo tu aposto pia anaishi mkoa wenye joto sana na anaishi safi tu.π π π π Nini kimetokea??
Kijana aliyebebelea dumu la mafuta ya upako jumapili iliyoisha kajikuta hapendi kuoga na maji kabisa! Anaoga upepo![emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Nini kimetokea??
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mm nipo na bafu ndani lkn wapi kuhusu kuoga sielewi kbsaUkitaka upate mzuka wa kuoga kila siku,ishi kwenye chumba chenye bafu ndani yake
Kipindi sjawa na chumba hiki niliwah kuachana na mke wangu kwasababu ya kunilazimisha kuoga kila siku
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Issue ya kutokuoga siku mbili tatu mbona ni kawaida sana
Huu mwili wenyewe uliumbwa kwa udongo
Itakuwa Iringa Tu!Mkoa gani upo