Sipendi kinachoendelea Zanzibar

Kuna kila aina ya ubabaishaji kwakweli
 
kama ni hivyo kweli, nampongeza sana DKT. SHEIN kwa kuwa mwelewa, anaipenda sana Zanzibar huyu mzee.
 

Nkapa ndio ana mustakabali wa maisha ya kisiasa ya wazenji..acheni kulalamika!

Mkuu humu ndani tuna watu si wa kawaida huyu mshikaji sijui pepa alilichungulia wapi alilosema ndiyo yanayoendelea huku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…