Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,962
- 67,521
Umesoma ukaelewa mimi sio muhusika ila kuna vitu vinatokea hapa lazima tukumbushane brooMambo yenu ya huko pm sisi yanatuhusu vipi?
Report abuse hukohuko pm mods watachukuwa hatua.
Acha kuleta picha za kipuuz hapa jamviniπgrow upkwa style hii nani atampa thamani mwanamke?.......wao wenyewe wanajitia uohovyo na sisi tunawachukulia hovyohovyo.....
View attachment 2640054
uzi unasemaje? nimetumia lugha ya pichaAcha kuleta picha za kipuuz hapa jamviniπgrow up
Ahahaha ase kama hawa wangu natamani niwahamishe tzUkiwa mwanaume mbatombato mungu anakupa mtoto au watoto wote wa kike,tena wazuri mashetani yalipize kisasi matunduni yote.
Ahaha wewe acha izoWeka hio video sasa
Umeshawahi jiuliza kwanini Me wanaokuwaga serious sana na Ke kimahusiano hufa mapema?Hellow Africa
Huwa sijawai pendwa ata kidogo jamii inavyomchukulia mwanamke ni kama kiumbe anachostahili fedhea aibu uonevu kitu ambacho si sawa.
Mwanaume anamchukua video mwanamke kisha anaenda kuitupia mtandaoni mwanaume huyo anasifiwa na jamii jamaa alikuwa moto jamaa ana kazi nzuri huku mwanamke anafedheheshwa, wanawake hawana akili alikubalije akachukuliwa video
Mimi nimesoma chuo fulani kuna jamaa mmoja alikuwa anatongoza wanawake kisha anawekewa dawa za kulevya akiwa anakula anaweka simu yake vizuri na kisha kuchukua video ila ikija kuvuja muhathirika mkubwa hapa ni mwanamke
Wanaume na sisi tuna watoto wa kike je utajisikiaje siku mwanao wa kike akifanyiwa hivyo? Tubadilike na tulinde heshima ya mtu mfano hata hapa JF kuna picha zinatembea pm za mtu fulani.
Maana ya pm ni nin? Na kwanini utoe hayo mambo pm ukasambaza pm za wengine? Ndio maaana wanawake wa JF wanachukulia wanaume wa JF hatujitambui tuna utoto mwingi sana
Ukichat na dem pm kaa kimya yeye akisema asambaze zako wewe ndio utabebwa kichwa ila mwezako kashaumia
hapo ni wanawake wenyewe kwa wenyewekwa style hii nani atampa thamani mwanamke?.......wao wenyewe wanajitia uohovyo na sisi tunawachukulia hovyohovyo.....
View attachment 2640054
Hatukupangii ila mzee wewe umezaliwa na mwanamke hivi ukizisambaza picha zake inakuwaje?Umeshawahi jiuliza kwanini Me wanaokuwaga serious sana na Ke kimahusiano hufa mapema?
Tusipangiane namna ya kuishi na Ke.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
πππ itapendezaSasa mnataka tulate wapi raw porn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ulisoma chuo? Anhaaa sawa
Nimekuelewa mwandishi