Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,916
- 24,674
Naomba unipe location pliz mimi ndie yule mwanaume wa lika lakoJamani nisaidieni mimi ni binti wa mikaka 25, mara nyingi nipo nyumbani tuu. Wazazi wangu hawapendi nitoke tangu mdogo hivo nimekua mtu nsie na social life
Yani maisha yang ni nyumbani, kazi za nyumbani, yani sikutani na vijana wa umri wangu kabisa.
Na ninapo fanya kazi wengi ni watu wazima na familia zao
Hivyo mara nyingi naishiwa kutongozwa na waumme za watu.
Hichi kitu kinanivunja moyo kwani natamani siku nipate mwenza na kufunga ndoa.
Ila naona umri unaenda na nimekua single kwa mda mref sana.
Nyumbani posa zilikuja kama tatu ila sipendelei kuozwa na mtu nsomjua wala nsompenda.
Naombeni msaada
Sent using Jamii Forums mobile app
CC Zero IQ