kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,000
- 17,909
Sipati picha siku 5g itakapozinduliwa nchini sipati picha 5g ya voda kasi yake itakuaje maana wapo vizuri sana
Hivi ni lini 5g inazinduliwa? Maana nasikia TCRA wameshaanza mchakato
Wakuu, wengine sisi tushanunua simu zenye uwezo wa 5g tunasubiria tu hiyo 5g
Mliopo humo kwenye system tujuzane ni lini rasmi??