Sipati picha 5g ya VodaCom itakavyokuwa na kasi ya ajabu, siwezi kusubiri

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,996
2,000
Sipati picha siku 5g itakapozinduliwa nchini sipati picha 5g ya voda kasi yake itakuaje maana wapo vizuri sana

Hivi ni lini 5g inazinduliwa? Maana nasikia TCRA wameshaanza mchakato

Wakuu, wengine sisi tushanunua simu zenye uwezo wa 5g tunasubiria tu hiyo 5g

Mliopo humo kwenye system tujuzane ni lini rasmi??
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
7,656
2,000
5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?

Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.

Theoretically:

3.5G ina speed ya 14.4MB/s

4G ina speed ya 100-300MB/s

5G itakua na speed ya 10-30GB/s

Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
 
kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
5,996
2,000
Hahahaha

The Knowledge Seeker

JF-Expert Member
Apr 13, 2019
1,284
2,000
5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?

Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.

Theoretically:

3.5G ina speed ya 14.4MB/s

4G ina speed ya 100-300MB/s

5G itakua na speed ya 10-30GB/s

Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
Hapa umeelezea vizur, hii mitandao huwaga inadanganya sana watu na kasi Ya internet wanazodai zipo kumbe hazipo.
 
lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
7,470
2,000
5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?

Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.

Theoretically:

3.5G ina speed ya 14.4MB/s

4G ina speed ya 100-300MB/s

5G itakua na speed ya 10-30GB/s

Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
Kuna forum fulani wazungu walikuwa wanalalamikia huduma ya internet kuwa slow kutoka 500MB/s kwenda 50MB/s ni kasema hivi Tanzania wangetupa tu 10MBPS si tungeringa
Tatizo la Voda ndg ni gharama zao, utapewa speed kubwa na mshiko mkubwa zaidi. Wanatukamua ile mbaya
Huduma za Internet ilitakiwa iwe ni public service. Serikali ifanye mpango wa kuweka Internet HotSpots za bure au za bei nafuu kabisa, sio kuyaachia haya makampuni hasa ya mobile wanawakamua raia kishenzi na sio raia wengi wana huo utaalamu wa kuibiwa
 
lembu

JF-Expert Member
Dec 31, 2009
7,470
2,000
5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?

Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.

Theoretically:

3.5G ina speed ya 14.4MB/s

4G ina speed ya 100-300MB/s

5G itakua na speed ya 10-30GB/s

Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
VODA wanakupa 300MB kwa shs 1,000 halafu unaitumia kwa sekundi moja ndio tafsiri ya 3000MBPS
Sasa hiyo itakuwa na faida gani kwa mlaji au mtumiaji??
Voda ni wezi kuwahi kutokea duniani
 
Mwalimu wa tuisheni

JF-Expert Member
Oct 19, 2019
1,838
2,000
5G inazinduliwa na TCRA au na makampuni ya simu?

Tatizo mitandao ya simu wanatudanganya sana. Hata hiyo LTE 4G ya hii mitandao wanayotuambia sio ya kweli.

Theoretically:

3.5G ina speed ya 14.4MB/s

4G ina speed ya 100-300MB/s

5G itakua na speed ya 10-30GB/s

Sasa hawa jamaa watakuja na 5G jina ila wataanza kutupatia 3.5G, kwa maana sasa hivi tupo 3G.
4g ya airtel ni sawa na 2g..
 
renamaizo

JF-Expert Member
Oct 17, 2014
1,657
2,000
Mnachekesha nying YIGO wana 4G+ hii no sawa na 5G
Kuna majitu yana dhambi duh !!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom