Sioni kwa sababu kwanini nisimpendelee

Sioni kwa sababu kwanini nisimpendelee

Yeaah i like it ,,,[emoji12]Eheeeee huwezi kunisambaza sema nini hakuna kunywa konyagi mziki wake siuwezi mie bado mdogo [emoji23][emoji23],, umenielewaaa picha tutakarushia kale kachawi si ndio
Umewaitia nini hao
 
Huyu nilishamuona naye kwenye part fulani hivi hapa dar maana selfie yao ilirushwa hapa jamvini. Sasa kipindi flani avatar yake ikiwa ile ya katoto kumbe ni mbibi ila kama karuka stage ya ujana. namuona ana undergo half live
Lol...
 
Evelyn Salt ni msichana mrembo ambae kafaulu kuiteka akili yangu kwa kiwango cha kuifanya akili yangu isione kasoro kwake,Umbo namba 8,rangi ya ngoz na weupe wa macho Yake ya mduara vinanikosesha sabab za kwann nisimpendelee!?

Ana kitovu kilichobonyea ndan mithili ya kizibo cha Saint Anna,Vishimo vilivyoingia ndan ya mashavu Yake na midomo Yake yenye kuleta mvuto zaidi usoni mwake vinanifanya nikose sabab ya kwann nisimpendelee.
KAMA na wew Kuna mrembo anakunyima usingizi hebu tafadhar mtaje Jina na uorodheshe sabab za kwann usimpendelee.
38aadeb6804eeb2e6b7eff3bb3679bf3.jpg
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu hichi ulichokiandika umeandika kwa hisia za image za kichwan kwako au umeandika kwa uhalisia??

Mkuu hii ndio jf unaweza kumkimbia yule unayemdhania ni kifaa , halafu usipende comment kuliko ntu itakuja kula kwako?
 
Evelyn Salt ni msichana mrembo ambae kafaulu kuiteka akili yangu kwa kiwango cha kuifanya akili yangu isione kasoro kwake,Umbo namba 8,rangi ya ngoz na weupe wa macho Yake ya mduara vinanikosesha sabab za kwann nisimpendelee!?

Ana kitovu kilichobonyea ndan mithili ya kizibo cha Saint Anna,Vishimo vilivyoingia ndan ya mashavu Yake na midomo Yake yenye kuleta mvuto zaidi usoni mwake vinanifanya nikose sabab ya kwann nisimpendelee.
KAMA na wew Kuna mrembo anakunyima usingizi hebu tafadhar mtaje Jina na uorodheshe sabab za kwann usimpendelee.
38aadeb6804eeb2e6b7eff3bb3679bf3.jpg
Huyu ndio Evelyn Salt waungwana au[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Back
Top Bottom