Sioni Gen Z Wakifanikiwa

Sioni Gen Z Wakifanikiwa

ERTUGRUL BEY

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2020
Posts
11,529
Reaction score
21,530
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Kuna msemo mmoja wa kiingereza unasema ukitaka kumuua mbwa basi mpe jina baya,maana yake ni kwamba kwa kawaida au akili ya kawaida huwezi kumuua mbwa bila sababu na hasa kwa jamii ambayo wanapenda wanyama wa kufuga.

Ili umuue na kuepuka maswali mengi basi mapema sana unampa jina baya,na Watawala nao wametumia mfano huo huo kuwapa Gez Z jina baya ili wahalalishe kudili nao bila kuwa na tashuwishu nyingi.

Ndio maana umesikia wameitwa wahuni au wezi wa kuiba mali za watu na kuharibu miundo mbinu kama ambavyo tumeyaona yaliyotokea tarehe 29/10/25

Kwahiyo hawa Gen Z ambao wanapanga tena kuandamana tar 9/12/25 siku ya uhuru hawatakuwa na sifa nyingine yoyote ile isipokuwa ni ile ile ya kuitwa WAHUNI NA VIBAKA

Hapo utatumika msemo ule ule ukitaka kumuua mbwa basi muite jina baya,hapo kuna vijana wengine tena watauwawa,tena safari hii kwa kutaka kuiangusha Mamlaka au Serikalli

Msione hii tume ya Maridhiano imeundwa haraka,watapitia humo humo kwamba Serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu lakini wahuni wachache wanakwamisha hizi juhudi na kuleta machafuko hapa nchini,kwahiyo hawatavumiliwa na watashughulikiwa

Vile vile Serikali imeahidi kwamba ndani ya siku 100 italeta au kuanza mchakato wa kupata katiba yenye kuridhiwa na wananchi,hiyo ni fimbo nyingine ya kuwachapia Gen Z ambao sasa wanajulikana kama wahuni wachache.

Kwahiyo ukiangalia kwa mapana yake ni kwamba Serikali imechukua hatua kadhaa ili kuleta kinachoitwa maridhiano lakini kwa upande wa pili lawama zitakuja kwa GEN Z kwamba ni wahuni wachache ambao wanataka kuharibu amani ya nchi,hapo watashughulikiwa,je watashughulikiwa kwa kutumia nguvu kama ya awali? Hakuna anayejua muda utaongea.

Pili sioni uungwaji mkubwa wa watu katika kufanikisha hayo maandamano,watu wameumizwa na yale yaliyo tokea 29 october,wamepoteza wapendwa wao na sidhani kama watakuwa tayar kupoteza wengine tena.

Tatu ile athari ambayo jamii iliipata kama matokeo ya kuzuiwa majumbani na kuacha shughuli zao ili waathiri watu wengi sana,sioni hamasa ya watu kuingia kwenye mazingira yale tena

Nataka kusema nini hapa,maana yake ni kikundi kidogo tu cha watu wataingia barabarani na kukosa uhalali au sapoti ya watu wengi hivyo kukosa ile nguvu ya maandamano ambayo ingetakiwa itikise watawala na hatimaye nguvu ya umma ipate kuonekana

My take, ni ngumu sana kuuondoa utawala kwa maandamano ambayo hayana kiongozi,kwahiyo wote tunataka mabadiliko lakini sioni kuleta mabadiliko kwa stahili hii,sana sana italeta maafa na vijana wengi kupoteza uhai

Naamini kabisa kilichofanyika tar 29 October kimeiamsha dunia na kujua nini kinaendelea hapa Tanzania,ubaya umeonekana na sauti zimesikika,naamini hili halita pita hivi hivi ila litakuwa na athari chanya siku chache zijazo

Mungu ibariki Afrika na Mungu ibariki Tanzania

Ni hayo tu!
 
My people,

Haya ni maoni yangu binafsi na si lazima yanafanane na wengi wenu,na kutofautiana na wengi wenu nisionekane napinga harakati za kuikomboa Tanganyika

Father kawaze tena uje. Awamu hii Gen Z wapo sivingine zaidi
 
Umewaza Ujinga
 
Na-share same school of thought na wewe. Kongole kwa namna ulivyofadavua
 
Umeandika nini sasa hapo?

Hivi huyo mtu atayewaza mawazo kama yako ya "serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu kupitia tume huru" atakuwa ni mtu ambaye ameyaona mauaji ya 29 October?

Je huyo mtu ina maana hajui suluhu ya haya ni huyo huyo anayeitwa suluhu ajiuzulu kwasababu ni muhusika wa kwanza wa matukio yote ya mauaji yaliyotokea?

Je huyo mtu atakuwa alikuwepo nchini wakati mitandao ikizimwa ili kutoa fursa kwa wauaji kufanya uovu wao bila kuonekana na dunia?

Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa ana amini miili ya watu iliyotapakaa nchini ni video za kutengeneza za AI?

Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa anaamini uchaguzi ulifanyika kikamilifu na matokeo ni halali kama yalivyotangazwa?

IKiwa utajibu Hapana kwenye moja ya swali kati ya hayo, basi jitafakari sana kuhusu standard ya empathy yako.
 
Kutetea HAKI siyo JUKUMU la mtu mmoja.

Acha huu uoumbavu wa kufujazia humu pumba za MANENO 600000
 
Mara zote, maandamano ya kudai haki huwa hayana kiongozi, kila mtu huwa ni kiongozi anayejituma kuandamana mwenyewe.

Rejea maandamano kwa nchi zilizowaondoa viongozi waliotawala kwa mtindo wa Serikali hii, ulishawahi kuona kuna kiongozi?

Fitina walizofanyiwa Chadema, kuzuia maandamano yao ya amani kwa visingizio vya 'intelijensia' sasa kunaligharimu taifa.

Jambo lililobaki kwetu sisi raia ni kuwapa moyo vijana kudai haki zao.

Sioni mbinu zozote zinazotumiwa na Serikali, sijui maridhiano, sijui mchakato wa Katiba ni ulaghai mtupu ambao hautakuja kuzaa matunda, maana mambo hayo na mbinu hizo wanazirudia ambapo tayari hapo awali walikwishazitumia kwa hila.

Na kumbuka mara zote wanaharakati wanaodai haki zao, huitwa majina mabaya kama ulivyosema wewe, kwamba ni magaidi, wezi, wahaini nk ambapo mtu yeyote kuitwa majina hayo huwa mpaka athibitishwe mahakamani kwa kutiwa hatiani.
 
Mkuu hao h
Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuchoma makanisa. Wadhibitiwe mapema.
Mambo mengine nyie wakristu mna shida sana mtu aje kuchomaa kanisa mnamwangalia TU, mbona domo kaya Ali uliwa kanisani tena kwa kipigo mbonam mnakua wajinga wajinga sana, nani KERA zama hizi bado nikulialia TU atae sogea kanisani fumua risasi
 
Hao nyumbu wanatakiwa watoke nje kwa wingi siku hiyo ili zoezi la kuwapiga risasi liwe rahisi wakibaki ndani wataendelea kusumbua kwahiyo watoke nje kwa wingi ila wawaage mama zao kabisa hatutarajii kuona mama zao wakijiliza mitandaoni maana offer ya mazishi ya bure kifurushi bado hakijaisha.
Hata polepole ALIKUA kama wewe Kiko wapiiiiiiii
 
Umeandika nini sasa hapo?

Hivi huyo mtu atayewaza mawazo kama yako ya "serikali ina nia thabiti ya kuleta suluhu kupitia tume huru" atakuwa ni mtu ambaye ameyaona mauaji ya 29 October?

Je huyo mtu ina maana hajui suluhu ya haya ni huyo huyo anayeitwa suluhu ajiuzulu kwasababu ni muhusika wa kwanza wa matukio yote ya mauaji yaliyotokea?

Je huyo mtu atakuwa alikuwepo nchini wakati mitandao ikizimwa ili kutoa fursa kwa wauaji kufanya uovu wao bila kuonekana na dunia?

Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa ana amini miili ya watu iliyotapakaa nchini ni video za kutengeneza za AI?

Je huyo mtu mwenye mawazo hayo atakuwa anaamini uchaguzi ulifanyika kikamilifu na matokeo ni halali kama yalivyotangazwa?

IKiwa utajibu Hapana kwenye moja ya swali kati ya hayo, basi jitafakari sana kuhusu standard ya empathy yako.
Nasikitika kuona think tank wa Gen-Z hujaelewa chochote.
 
Mkuu hao h

Mambo mengine nyie wakristu mna shida sana mtu aje kuchomaa kanisa mnamwangalia TU, mbona domo kaya Ali uliwa kanisani tena kwa kipigo mbonam mnakua wajinga wajinga sana, nani KERA zama hizi bado nikulialia TU atae sogea kanisani fumua risasi
Makanisa yaongezewe ulinzi.. Mashekhe na BAKWATA wamepanga kuyachoma moto.
 
Back
Top Bottom