Maryfavoured
Member
- Oct 11, 2018
- 26
- 4
- Thread starter
- #21
Thankskuwa na aman umeshapata kuna mwingine pia jina lipo kwenye list ila profile wakamtumia sms kuwa amekosa,
Baada ya muda wakaupdate account yake kila kitu kikaenda sawa so ni makosa madogo madogo tu.