Sionekani kwenye majina

Sionekani kwenye majina

Kama uko karibu na icho chuo nenda direct kachukue admission form yako
 
hakuna tatizo mimi mwenyewe kuna rafiki yangu ili mtokea hiyo mwaka jana yani kwenye profile yake kachaguliwa ila kwenye list ya majina ambao wanatakiwa kujiunga na chuo hiko akuwepo akaenda chuoni moja kwa moja wakamwambia tayari yuko kwenye system na jina lake lishapelekwa kwenye board ya mikopo tayari tangu alipochaguliwa tu
 
Aisee....kweli ni neema tu
 
Huyu mtu kweli anaenda Chuo? Ok maybe amepanic.

Round ya 4 TCU bado hawaja-verify.

Kama uliapply kwenye OAS ya Chuo ukaona upo selected iyo inamaana umekidhi vigezo vya kusoma hiyo course according to Admission criteria za iko Chuo.

Next stage Chuo kinakupeleka TCU (deadline ilikua tarehe 24 October kwa Chuo chetu kupeleka sijui kama ni wote) hafu wao TCU wanaverify na ndio wanatuma majina back chuoni na status kama Multiple Admission, Selected, Prior Admission, Not Qualified, No A-Level Subjects Minimum Pass, etc

Hafu Chuo kinakuambia wewe.

Sasa Chuo kukuambia umechaguliwa kabla ya TCU ndio yale yale ya UDSM juzi juzi baadae wanaanza kukuambia sorry chuo kimejaa.
 
Asante kwa hayo..nilikua na stress....I wil be patient
 
Hiyo list ni updated au ya toka round zlizopita ,fatilia vzr mana inaweza ikawa haijahusisha wa2 wa fourth round
 
kuwa na aman umeshapata kuna mwingine pia jina lipo kwenye list ila profile wakamtumia sms kuwa amekosa,
Baada ya muda wakaupdate account yake kila kitu kikaenda sawa so ni makosa madogo madogo tu.
 
Back
Top Bottom