mtzmweusi JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 8,704 Reaction score 9,077 Apr 23, 2014 #1 Habari zenu wana mmu natumai mmesherehekea sikukuu ya pasaka vizuri ni muda sasa sijawa active humu ndani nimewamiss miss chagga Heaven on Earth Eiyer mwekundu na wengineo Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Habari zenu wana mmu natumai mmesherehekea sikukuu ya pasaka vizuri ni muda sasa sijawa active humu ndani nimewamiss miss chagga Heaven on Earth Eiyer mwekundu na wengineo
sokwe JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 2,022 Reaction score 1,065 Apr 23, 2014 #2 Nini zaidi mkuu? Pole sana, hope you will recover soon.
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,335 Apr 23, 2014 #3 get well soon
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,631 Apr 23, 2014 #4 Pole, tukuletee nini tukija kukutembelea?
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,217 Apr 23, 2014 #5 get well soon
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 375,865 Reaction score 870,832 Apr 23, 2014 #6 Pole sana mtzmweusi Umepima lakini?
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,317 Apr 23, 2014 #7 Pole n' get well soon.
FYATU JF-Expert Member Joined Dec 7, 2011 Posts 5,878 Reaction score 5,082 Apr 23, 2014 #8 Aise, pole blackman....
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,614 Reaction score 55,209 Apr 23, 2014 #9 Ugua pole mkuu
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Apr 23, 2014 #10 Pole sana
T The Green Village Senior Member Joined Aug 30, 2013 Posts 170 Reaction score 73 Apr 23, 2014 #11 King'asti said: Pole sana Click to expand... pole sana.. get well soon
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,690 Apr 24, 2014 #12 pole saaaana..
E enhance JF-Expert Member Joined Apr 10, 2014 Posts 449 Reaction score 176 Apr 24, 2014 #13 ukiigua pole utachelewa kupona bana, get well soon!
OLESAIDIMU JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 19,139 Reaction score 9,575 Apr 24, 2014 #14 Pole mkuu!!!! Uko kwenye matibabu au bado ni hangai za vipimo kuoata diagnosis!!!!! Ugonjwa siri yako na daktari ila wawezaweka hints watu wakarahisisha kwa uwezo wa umoja huu!!!!!
Pole mkuu!!!! Uko kwenye matibabu au bado ni hangai za vipimo kuoata diagnosis!!!!! Ugonjwa siri yako na daktari ila wawezaweka hints watu wakarahisisha kwa uwezo wa umoja huu!!!!!
Dejane JF-Expert Member Joined Jan 1, 2014 Posts 51,112 Reaction score 72,580 Apr 24, 2014 #15 Mmmhhhhhh wewee
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,475 Reaction score 21,046 Apr 24, 2014 #16 pole sana mkuu ,Mungu akuponye ili tuweze jumuika nawe na shughuli za maendeleo pia
mwekundu JF-Expert Member Joined Mar 4, 2013 Posts 22,475 Reaction score 21,046 Apr 24, 2014 #17 Dinazarde said: Mmmhhhhhh wewee Click to expand... wewe amefanya nini dear
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 Apr 24, 2014 #18 pole sana mungu akusaidie upone
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,109 Apr 24, 2014 #19 pole sana mi nikajua mikiki ya sikukuuu... jamani upone mapema pole sana
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,234 Reaction score 26,754 Apr 24, 2014 #20 poleeeee get well soon