Ngoja nikuulize hivi mkaguzi msaidizi wataitwa lini
binafsi nasubiri kama wewe naomba nisijitie msemaje wa wizara ya mambo ya ndani
Ndg wanaJamiiForum.
Sitokaa niombe tena kazi uhamiaji, kwasababu ajira zenyewe wanapeana na sio kistaharabu ni kwa dharau na kutuonesha watanzania tusiokuwa na ndugu uhamiaji hatuna chetu.
Hamna noma uhamiaji, ila kama kuna mtu nduguye au babayake yuko pale mwambie waaendelee na tabia yao nzuri, POA
Niko mwanza, nimepoteza pesa yangu kutuma kwa ems then ndio majanga hayawananifanyia..
Sina kigezo gani?!
Mm sio mtoto wa kigogo si ndio..!!!
Poa[/QUOTE
Niko mwanza, nimepoteza pesa yangu kutuma kwa ems then ndio majanga hayawananifanyia..
Sina kigezo gani?!
Mm sio mtoto wa kigogo si ndio..!!!
Poa
Nilioona kule kwenye thread ya uhamiaji yametimia kwamba tujiandae na mazoez makali nikakuuliza mazoezi gani hujanijibu ebu tusaidie kwa hili
jiandae jinsi ya kujibu, tell us about you,what is your wekness and streinght, why we should hire you, what is your salary expectation na mengineyo
Majna ya wakubwa ndo mengi na C/o za watu wanaofahamika c tuliotoka familia masikin ndo tuliokosa bt tukomaa tu tutatoka hata bila kuajiliwa me saiv na degree yng nimekuw mpiga picha kitaa wananicheka bt nakomaa kiaina