Sio Zitto pekee yake, hata sisi tumeandika

Sio Zitto pekee yake, hata sisi tumeandika

Hata kama mmeandika mkiwa zaidi ya elfu moja bado hatuko tayari kuharibu mila na silka zetu kwa hilo na ni nyinyi pia ndiyo wale mliotaka kuhalalishwa mahusiano ya ushoga.
Hatuwezi kuuza uhuru wetu kutona na watu wa aina hii. Nyinyi endeleeni kudunga mimba wanafunzi na sisi tutaendelea kusherehekea kifungo cha miaka 30.
kwani mila na silka zetu zinaruhusu kuwa omba omba? wakati taifa lina rasilimali kibao.... je zina ruhusu kiongozi mkuu wachama tawala kutoifuata katika katiba na kuiba trillion 1.5...zina ruhusu mauaji kwa wale wote ambao wanaleta changamoto za kuikosoa serikali ya awamu ya tano kwakutumia hoja thabiti zenye fact
 
Unachekesha kweli, napenda sifa unanijua mimi wewe?
Mimi ni sawa na hewa tu, I'm nameless, sasa nipendeje sifa wakati mimi ni upepo tu?
Mtu anayeitwa "My Son drink water "unamjua?
Na Kama humjui anawezaje kupenda sifa wakati hajulikani popote?
It's like a thing that doesn't exist!
Mkuu inaonekana una matatizo makubwa ya kisaikoloji

Sent using Jamii Forums mobile app
😃😃😃
 
Nawe boss bado hujawa na ufahamu kiasi hiki? Yaani unaamini kukopa ni umaskini? Nchi gani duniani haikopi? Nchi zinakopa na kukopesha pia! Norway iliikopesha Brazil wakati huo huo Brazil ikaikopesha USA! What is that?

Zitto ni mtu mweye papala tu na uonavyo akikimbilia kuandika mitandaoni awe wa kwanza, ndo alivyofanya na kutaja FDCs kuwa ni vyuo vya CCM. Tangu lini?
Brazil iliikopesha nini US? acha utaahira hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnapoteza muda wenu bure kumwandama Zitto eti kaiandikia World Bank isitishe mkopo wake kwa Tanzania.

Hata sisi pia na mimi nikiwemo na wenzangu wengine wengi pia tumeileza World Bank juu ya uozo wa serikali ya awamu ya Tano juu ya haki za Binadamu, Demokrasia na hali ya kisiasa kwa ujumla Tanzania.

Binafsi nimetuma clip za Video kwa World Bank na kuwataka pia ku prove hizo clip You Tube juu ya matamshi ya Rais kwa Wapinzani, ambayo amekuwa akiyatoa hadharani.

Kwanini serikali inahitaji hiyo pesa karibia na uchaguzi mkuu na siyo baada ya uchaguzi mkuu au kabla?

Jibu li wazi kwamba hiyo pesa inalengwa kutumika kwenye Kampeni.

Nimewaandikia Benk ya Dunia na kuwaeleza wazi kwamba kwa sasa kila kiongozi ana tension na uchaguzi mkuu hasa Rais na Wabunge hasa wa CCM ambako ndo kuna mawaziri.

Nimeikumbusha World Bank juu ya mizengwe ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana jinsi wapinzani walivyonyanyaswa hadi kujitoa kwenye uchaguzi.

Nimeieleza World Bank kuwa Tanzania imeshapata mikopo mingi mno ya Elimu tangu Tupate Uhuru na Rais pekee aliyekuwa akitumia mikopo hiyo vizuri ni Nyerere pekee yake ndo maana ktk utawala wake Elimu ilikuwa bure kweli kweli na siyo bure ya mdomoni Kama tunavyoaminishwa sasa hivi.

Nimeieleza World Bank jinsi watoto wadogo wanavyotembea km zaidi ya 10 kwa siku kwenda shule na bado wakifika darasani hakuna madawati, vitabu na uhaba wa walimu,na kwamba kipaumbele cha serikali ya awamu ya Tano siyo Elimu bali ni ununuzi wa ndege na miradi mikubwa ambayo inazidi uwezo wa nchi kiuchumi.

Na pia nimeieleza World Bank jinsi serikali ya awamu ya Tano ilivyodhamiria kuua upinzani kwa nguvu zake zote,kwa hiyo si ajabu hizo pesa zitatumika ktk operesheni Tokomeza upinzani.
Hakuna kurudi nyuma tena!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
My Son drink water,
Who the hell do you thing you as a mere organism can write to WORLD BANK and get listened? Kosa la Zito ni kutumia kofia ya Ubunge na facilities za nembo za bunge la Tanzania kuaminisha World Benki kwa hicho alichokisema. Lakini muwe munajua usaliti wa nchi yako katika nchi yoyote hile ni kosa (na sijui lakini) linaweza kulinganishwa na "uhaini". Kuifitinisha nchi yako katika maslahi ya kiuchumi ni ngazi ya juu ya uhujumu uchumi na uhalifu ambao hauwezi kukuacha salama. Kafanye usaliti huo katika nchi za mashariki ya kati au china uone kama hutakatwa kichwa!
Kwanini hukuyazungumza haya wakati Lissu anapigwa risasi?

huoni hata aibu mkuu, MAANA UMEJITOA UFAHAMU KWA KIWANGO KIKUBWA MNOO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama mmeandika mkiwa zaidi ya elfu moja bado hatuko tayari kuharibu mila na silka zetu kwa hilo na ni nyinyi pia ndiyo wale mliotaka kuhalalishwa mahusiano ya ushoga.
Hatuwezi kuuza uhuru wetu kutona na watu wa aina hii. Nyinyi endeleeni kudunga mimba wanafunzi na sisi tutaendelea kusherehekea kifungo cha miaka 30.
Umeambiwa Makonda anatuhumiwa kwa kupinga ushoga? Mbona Museven alitunga sheeia kabisa ya kuzuia ushoga na hakupigwa ban? soma vzr waraka wa Pompeo mkuu, acha kuwasikiliza Vichaa wa CCM

acha kujitoa ufahamu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Next time muweke anuani ya World Bank jamvini wengine tupate nafasi ya kuwaeleza wasitishe msaada kwa 5 years kabisa ikiwezekana.
 
Back
Top Bottom