Sio Zitto pekee yake, hata sisi tumeandika

Sio Zitto pekee yake, hata sisi tumeandika

Kama hujui uliza. tunatofautiana ufahamu. UKishinda JF ukiwa na sisi bila kujua uwezo wetu utaponzeka. Uliza kwa busara nikueleze basi! Tena siyo Brazil tu hata Saudia iliikopesha US! Upo?
Huna unalojua wewe, yaani unatia sana Huruma mkuu, Saudia Arabia hawajawahi kuikopesha US bali waliingia mkataba wa $200Bil wa US kuiuzia silaha Saudia, wewe ukadhani US wamekopeshwa, umeonyesha uelewa mdogo mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuuuuumaaaaa
EPx5z-kXsAEGAf6.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuwa mpole, tulia kwanza. Mbona World Bank ukianika facts with evidence wanakusikiliza vizuri sana? Kwani yale mashirika yanayokuwa funded na world bank kwenye miradi mbalimbali barua au proposals zao huwa zinakuwa nembo ya bunge?
Hapo kina Ndou guy bin Majora wanapokwamia katika ushirikishaji kichwa ubongo na mdomo pindi wawapo "bongeni"
Wanadhani watanzania siku zote watabaki ujingani
 
Mnapoteza muda wenu bure kumwandama Zitto eti kaiandikia World Bank isitishe mkopo wake kwa Tanzania.

Hata sisi pia na mimi nikiwemo na wenzangu wengine wengi pia tumeileza World Bank juu ya uozo wa serikali ya awamu ya Tano juu ya haki za Binadamu, Demokrasia na hali ya kisiasa kwa ujumla Tanzania.

Binafsi nimetuma clip za Video kwa World Bank na kuwataka pia ku prove hizo clip You Tube juu ya matamshi ya Rais kwa Wapinzani, ambayo amekuwa akiyatoa hadharani.

Kwanini serikali inahitaji hiyo pesa karibia na uchaguzi mkuu na siyo baada ya uchaguzi mkuu au kabla?

Jibu li wazi kwamba hiyo pesa inalengwa kutumika kwenye Kampeni.

Nimewaandikia Benk ya Dunia na kuwaeleza wazi kwamba kwa sasa kila kiongozi ana tension na uchaguzi mkuu hasa Rais na Wabunge hasa wa CCM ambako ndo kuna mawaziri.

Nimeikumbusha World Bank juu ya mizengwe ya uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana jinsi wapinzani walivyonyanyaswa hadi kujitoa kwenye uchaguzi.

Nimeieleza World Bank kuwa Tanzania imeshapata mikopo mingi mno ya Elimu tangu Tupate Uhuru na Rais pekee aliyekuwa akitumia mikopo hiyo vizuri ni Nyerere pekee yake ndo maana ktk utawala wake Elimu ilikuwa bure kweli kweli na siyo bure ya mdomoni Kama tunavyoaminishwa sasa hivi.

Nimeieleza World Bank jinsi watoto wadogo wanavyotembea km zaidi ya 10 kwa siku kwenda shule na bado wakifika darasani hakuna madawati, vitabu na uhaba wa walimu,na kwamba kipaumbele cha serikali ya awamu ya Tano siyo Elimu bali ni ununuzi wa ndege na miradi mikubwa ambayo inazidi uwezo wa nchi kiuchumi.

Na pia nimeieleza World Bank jinsi serikali ya awamu ya Tano ilivyodhamiria kuua upinzani kwa nguvu zake zote,kwa hiyo si ajabu hizo pesa zitatumika ktk operesheni Tokomeza upinzani.
Mi nataka iwe kweli kwamba uliwaandikia WB hizi "nondo".
 
K
My Son drink water,
Who the hell do you thing you as a mere organism can write to WORLD BANK and get listened? Kosa la Zito ni kutumia kofia ya Ubunge na facilities za nembo za bunge la Tanzania kuaminisha World Benki kwa hicho alichokisema. Lakini muwe munajua usaliti wa nchi yako katika nchi yoyote hile ni kosa (na sijui lakini) linaweza kulinganishwa na "uhaini". Kuifitinisha nchi yako katika maslahi ya kiuchumi ni ngazi ya juu ya uhujumu uchumi na uhalifu ambao hauwezi kukuacha salama. Kafanye usaliti huo katika nchi za mashariki ya kati au china uone kama hutakatwa kichwa!
Zitto ni mbunge, Bungeni ni moja ya ofisi yake, kuna tatizo gani kwa yeye kutumia karatasi ya Bungeni yenye nembo ya Bunge, kuandika barua ambayo inahusu uoza unaohusu Bunge?? Wise up Bro..
 
kwani mila na silka zetu zinaruhusu kuwa omba omba? wakati taifa lina rasilimali kibao.... je zina ruhusu kiongozi mkuu wachama tawala kutoifuata katika katiba na kuiba trillion 1.5...zina ruhusu mauaji kwa wale wote ambao wanaleta changamoto za kuikosoa serikali ya awamu ya tano kwakutumia hoja thabiti zenye fact
You are arguing just for the sake of arguing and i have no time for such lots.
 
My Son drink water,
Who the hell do you thing you as a mere organism can write to WORLD BANK and get listened? Kosa la Zito ni kutumia kofia ya Ubunge na facilities za nembo za bunge la Tanzania kuaminisha World Benki kwa hicho alichokisema. Lakini muwe munajua usaliti wa nchi yako katika nchi yoyote hile ni kosa (na sijui lakini) linaweza kulinganishwa na "uhaini". Kuifitinisha nchi yako katika maslahi ya kiuchumi ni ngazi ya juu ya uhujumu uchumi na uhalifu ambao hauwezi kukuacha salama. Kafanye usaliti huo katika nchi za mashariki ya kati au china uone kama hutakatwa kichwa!
Kwahiyo wauwawe?Hoja hujibiwa kwa hoja shwain wakubwa!
Halafu mifano yenu sasa,duuh!
 
Back
Top Bottom